Evmem
Member
- Oct 20, 2010
- 95
- 12
Harusi hiyoo dunia imekwishaaa!
Mkuu avatar yako inatisha, kidogo nianze ku-run anti virus aisee... anyway. Hayo mengine ni ya kawaida tu... Utamu wa embe ajua mnyonyaji. kila mtu na vyake.Duh,kama kweli kweli dunia imeisha aseeeee.............so soon hiki kitu kitatua tz,tunavyopenda kuiga!!!!!nchi gani hiyo mkulu..
Mkuu avatar yako inatisha, kidogo nianze ku-run anti virus aisee... anyway. Hayo mengine ni ya kawaida tu... Utamu wa embe ajua mnyonyaji. kila mtu na vyake.
Sioni kawaida ila kusema ukweli nimesha sikia sana kuhusu haya mambo na sijawahi kutana na mtu akanambia he could change it by critics. Kama unadhani sio sawa either u tell THEM or you keep it to yourself. Sisi ndio tunabaki na uchungu (plus kinyaa) wenyewe wanafurahia tu na wanaendelea na maisha yao. what is the point?Wewe unaona sahihi mwanaume akisukuma/akisukumwa mavwi?.....Tena haushangai, unaonekana mzoefu dah!..lolz!
...just a joke!
Sioni kawaida ila kusema ukweli nimesha sikia sana kuhusu haya mambo na sijawahi kutana na mtu akanambia he could change it by critics. Kama unadhani sio sawa either u tell THEM or you keep it to yourself. Sisi ndio tunabaki na uchungu (plus kinyaa) wenyewe wanafurahia tu na wanaendelea na maisha yao. what is the point?