Manjonjo yakizidi sana keki zinaboa hata kuzitazama.. mara nyingi zinapunguza bajeti ya bia pyuuuu
Off course just ishara tu kuwa maisha ya ndoa ni matamu soft kama keki. trust me Sky Eclat unazionaje zile pete za ndoa za wale wenye nazo? ni kubwa manjonjo kibao lakini zimepoteza ile ladha orinal ya ndoa. sasa pete ya ndoa inafanana na ya kofii olomide inahusu?Haha haha kwa hiyo keki iwe simple tu.
Sure!Will you let me share my dress with you?