Wedding Anniversary

he he heeeeeeeeeeee, shostito wala usijali mamiii, huwezi kuja kusutwa, yaani i am here to stay, so ondoa shaka.
Asante sana kwa nyimbo, na mawosia, lol!
 
ooh jamani ni bahati sana kuwa na partner mwenye moyo wa kuona kosa na kukubali na kujutia..watu wengi tuna mioyo ya jeuri so inakuwa ngumu kusuluhisha na kusonga mbele.
kama watu wangekuwa wanakubali makosa yao na kutubu na kuacha tungekuwa mbali saaana
ndoa nyingi watu wana roho za jeuri jeuri na mambo yanakuwa magumu
 
Hongera sana rafiki hiyo ni hatua kubwa hivyo mna kila sababu ya kumshukuru Mungu. Mwenyezi Mungu na aendelee kuwabariki mzidi kudumu katika agano lenu, awajalie amani, upendo na afya njema siku zote za maisha yenu.
Amen mwaJ, Kwa kweli namshukuru Mungu kwa hilo.
Asante kwa kutuombea
 
Last edited by a moderator:
Ni kweli kabisa..... unajua mtu anapokiri kosa na kulijutia unajua kabisa alifanya kwa bahati mbaya na hatarudia. jeuri inapoingia mimi huwa naamini huyo mtu hayupo tayari kuliacha hilo kosa, i.e. ataendelea nalo.
Kwa kweli namshukuru Mungu alinipa mume wa kukiri kosa. maana najua ingeniumiza sana. hata kwa watoto na watu ninaokaa nao wanajua wakifanya kosa wanasema ukweli na wanaomba msamaha sina tatizo, ila ukidanganya........
 
Amen Mgaya, nashukuru sana kwa hii post yako. Mungu akubariki pia
 
Thank you Kaizer, kwa kweli namshukuru Mungu...... sisi watu wa zamani tulijaliwa uvumilivu na kujishusha
 
Last edited by a moderator:
happy anniversary FP . Mungu akuzidishie moyo mzuri na upendo kwenye ndoa yenu na muendelee kutimiza agano. you are an inspiration to us unmarried people
 
happy anniversary @FP. Mungu akuzidishie moyo mzuri na upendo kwenye ndoa yenu na muendelee kutimiza agano. you are an inspiration to us unmarried people.
Amen Blaine, nafurahi kuwa-inspire ambao bado hawajaingia huku, kila kitu kinawezekana kwa msaada wa Mungu
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…