Fixed Point
JF-Expert Member
- Sep 30, 2009
- 11,304
- 12,753
Amen rafikiHongera sana mamii
may god bless you and your familly
Aaah watu tulikuwa tunakulia timming kumbe tayari bwana, this is not fair. Well hongera sana na Mnyaazi Mungu akuongezee mingine 13 times 13.
ha haaaaaaaaaaaaaaa, kuna mabinti kibao humu bado wapo available. utampata soonAaah watu tulikuwa tunakulia timming kumbe tayari bwana, this is not fair. Well hongera sana na Mnyaazi Mungu akuongezee mingine 13 times 13.
Asante sana rafiki yanguhappy anniversary
Amen my dear.wow!! congrats @FP, may GOD bless your marriage and let you enjoy it till the end.big up pia kwa anniversary hiyo not everyone is blessed with that!!! am just praying that i will also be blessed with a grace of living marriage life with someone special someday.
Ha ha ha...BAK asiye bahati habahatishi. Huko Mitt Romney naye anaunyemelea kwa karibu sana sasa urais, mwaka huu sijui tu!....LoL! Yegoooooo....WE URIE TU!!!
Amen rafikiNanyi mbarikiwe kwenye kila kitu na ndoa yenu izidi kushamiri kwa miaka mingine mingi ijayo.
He he he...kuteleza si kuanguka, sijakata tamaa~mwaka huu mpaka kieleweke. Mabinti wa JF kaeni mkao wa kula!.ha haaaaaaaaaaaaaaa, kuna mabinti kibao humu bado wapo available. utampata soon
That's the spiritHe he he...kuteleza si kuanguka, sijakata tamaa~mwaka huu mpaka kieleweke. Mabinti wa JF kaeni mkao wa kula!.
nakumbuka clearly this was our first dance wedding song
Shania Twain - From This Moment On - Lyrics - YouTube
Kila nikisikiliza hayo maneno, najua hatukukosea kuuchagua and we both meant every word BAK unawekaje zile link zako?