M mbatia mnzava Member Joined Jul 1, 2011 Posts 27 Reaction score 3 Oct 14, 2011 #1 eti wana jf wapi ninaweza ku dwld kwaya za tz.kwa anayejua hiyo site anisaidie tafadhali!
Likwanda JF-Expert Member Joined Jun 16, 2011 Posts 3,926 Reaction score 1,160 Oct 18, 2011 #2 kanunue nakala halisi itawaingizia pato kuliko kudownload.
DEVINE JF-Expert Member Joined Mar 11, 2011 Posts 536 Reaction score 87 Oct 18, 2011 #3 Ivi kwanini hizi kwaya bongo zisiungane zitengeneze website ambayo ingeuza kazi zao online? Twende na wakati mswala ya kununua nakala wenzangu na mie ni ishu kweli.
Ivi kwanini hizi kwaya bongo zisiungane zitengeneze website ambayo ingeuza kazi zao online? Twende na wakati mswala ya kununua nakala wenzangu na mie ni ishu kweli.
Bishop Hiluka R I P Joined Aug 12, 2011 Posts 7,150 Reaction score 14,724 Oct 19, 2011 #4 Unataka kutushirikisha kwenye wizi?...
V valid statement JF-Expert Member Joined Sep 18, 2011 Posts 2,855 Reaction score 895 Oct 31, 2011 #5 mbatia mnzava said: eti wana jf wapi ninaweza ku dwld kwaya za tz.kwa anayejua hiyo site anisaidie tafadhali! Click to expand... mahali pazuri kabisa. Ni kwenda duka la kuuza kanda(tape, VHS, CD, VCD, DVD). Ununue orignal kuendeleza injili.
mbatia mnzava said: eti wana jf wapi ninaweza ku dwld kwaya za tz.kwa anayejua hiyo site anisaidie tafadhali! Click to expand... mahali pazuri kabisa. Ni kwenda duka la kuuza kanda(tape, VHS, CD, VCD, DVD). Ununue orignal kuendeleza injili.
N nyakunyaku Member Joined Jun 8, 2011 Posts 20 Reaction score 2 Nov 1, 2011 #6 mwizi wa kazi za wasanii nenda kanunue CD
mysteryman JF-Expert Member Joined Aug 4, 2011 Posts 1,080 Reaction score 395 Nov 1, 2011 #8 Hahaha watu bana kujifanya wakali ktk wizi kumbe na wao wamepata humo humo
Masika JF-Expert Member Joined Sep 18, 2009 Posts 723 Reaction score 30 Nov 1, 2011 #9 Lakini hili ni jukwaa la utani,jamaa anatania tu mbona wabongo wengi ni ma downloader tu,wana u tube na kushusha
Lakini hili ni jukwaa la utani,jamaa anatania tu mbona wabongo wengi ni ma downloader tu,wana u tube na kushusha