M MIGNON JF-Expert Member Joined Nov 23, 2009 Posts 4,120 Reaction score 5,119 Aug 13, 2013 #1 Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus. Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae ubuntu imegoma kufunguka.
Wadau nimejaribu kufungua website ya OUT na avast anti virus imeblock na kuniarifu kuwa imezuia Trojan virus. Kama kuna mdau atusaidie na nilifanikiwa kuifungua kwa kutumia ubuntu ila baadae ubuntu imegoma kufunguka.
the locksman JF-Expert Member Joined May 5, 2012 Posts 1,106 Reaction score 357 Aug 16, 2013 #2 mwenyewe nimepita inasema hivo,nilikua namchekia jamaa matokeo yake. kama unacheki matokeo nenda moja kwa moja SARIS inafunguka.
mwenyewe nimepita inasema hivo,nilikua namchekia jamaa matokeo yake. kama unacheki matokeo nenda moja kwa moja SARIS inafunguka.