kama ni madaktari wa kitanzania walioko uturuki wamefanya hivi ni balaa!hii itamaanisha mgogoro wa serikali na madaktari haujaisha.Hawa wameonesha ushirikiano mzuri kwa kuwaunga mkono madaktari nchini, kwani tafsiri ya cellat ni "wauaji au wanyongaji" tena si kifo tu bali mateso makali na ndipo mauaji ya kikatili.
Kingine hebu tusubiri tuone, hili suala linaweza chelewa kutatuliwa hata mwezi mmoja...tukumbuke ile website ya bunge, iliwahi kaa miezi sita bila update yoyote, hadi lilipoibuka suala la bingwa aliyeibwaga serikali jana "Mahalu, Costa. Prof.
Sasa hili litafumbiwa macho na CCM, kana kwamba hakuna kilichotokea.
kwa mara ya kwanza tunashuhudia website ya wizara ya afya ikiingia mikononi mwa hackers.check hapo chini ujioonee
Ministry of Health & Social Welfare
Walikuwa wana update mabadiliko ya waziri nini?wakaacha uwazi hacker wakapita.coz website za wizara nyingine last updation 2007