Website ya Wizara ya Afya "hacked"

Usokitabu

Senior Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
107
Reaction score
7
Hii itakuwa kali kweli ukijivinjali katika tovuti ya Wizara ya Afya (www.moh.go.tz) utakutana na jamaa likiwa na bunduki kali sana! na kuna maneno haya HACKEDBYCELLAT. Nafikiri kutokana na hili suala ndiyo maana vitu vingi havifunguki katika tovuti hiyo. Ni vema wakatatua tatizo mapema kama kweli watakuwa wameingiliwa...

 
kwa mara ya kwanza tunashuhudia website ya wizara ya afya ikiingia mikononi mwa hackers.je tunaweza kuhusianisha hili tukio na mgomo wa madaktari au mgogoro na malawi?check hapo chini ujioonee

Ministry of Health & Social Welfare
 
dah hao cellat noma yaani turkish ndo wanatuchezea hivi heheh lazima itakuwa shut down soon
 
heheh kwani huyo IT wao anaweza zuia hizo attacks from professional hackers kama yeye mwenyewe hajajipanga?
 
hii hahari sana wanaweza kuiangamiza asekta nzima
na kuwaibia pia kimtandao wakajikuta hawana kitu.
 
naona kuna uhusiano na jeshi la uturuki...wana uhusiano mzuri na jk hii nchi!!sijui hayo mambo ya IT,whatever rhat hacking thang mean
 
nashangaa sana .kwani tuna tatizo lolote na waturuki?isitoshe hawa ni washikaji zetu sana tu
 
Haya mambo yanatokea Tanzania tu. Nchi yenye kila aina ya maajabu!! Wizarani wamezoea nakala ngumu (hard copy) tu.
 
Ni nouma...naona imekamatwa kweli kweli.
 

hii ni informal translation ya hili neno CELLAT.je hii ina maan gani??
 
dah hii kali kwakweli inamaana hawajastuka tu hadi sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…