Website ya Utumishi ina tatizo gani?

Waizime tu taarifa tunazipata kwenye blog website ya taifa haina chochote zaidi ya mapicha picha yalitoeditiwa vibaya
 
Ni Wizara inayofanya kazi vizuri sana. Wanahitaji kupongezwa na kuombewa. Wameonyesha haki na usawa. Ni wakweli na wawazi. Tunaimani nao. Asante Mh. RAIS, Waziri na watendaji wote wa UTUMISHI.
 
Waizime tu taarifa tunazipata kwenye blog website ya taifa haina chochote zaidi ya mapicha picha yalitoeditiwa vibaya
Mbona umekasirika?. Naamini utapona na kuipongeza Wizara yetu ya UTUMISHI.
 
Mbona umekasirika?. Naamini utapona na kuipongeza Wizara yetu ya UTUMISHI.
Mi sijaajiriwa, na siongelei kuhusu ajira naongelea habari za hawa wenye vyeti feki wizara haitoi habari za kutosha na inasababisha vihabari vingi vya uongo kuzagaa unakuta taarifa kibao mtaani na kwenye website yao ni hazipo
 
Isije kuwa imepitiwa na virus cha Int. Hackers...
Ulimwengu wote unalia khs hilo.
 
Back
Top Bottom