Website ya NACTE haifunguki

Website ya NACTE haifunguki

Unataka kwenda jela wewe? Hujui sheria ya mtandao inaweza kukubana na ukaenda jela kwa kusema uwongo.
 
ondoeni shaka vijana wote mtachaguliwa, cha msingi ni nyie kuwa makini na hzo profile zenu ili kama kuna mabadiliko yoyote muweze kuyarekebisha mapema
 
Oyooooo ...naelekea kijijin kukata miti ya kuchoma mkaa nyie mtanitumia sms kama majina tayar au badoo ..maaana kijijin huko sitakuwa na simu ya net..namba yanguu ni https://jamii.app/JFUserGuide...waungwana mtanitumia sms naenda kijijin ...maana nimesubir mjin ad nimechokaa
 
Kwani mwaka Jana naskia yalitoka baada ya uchaguzi napia wakasubrishwa hadi rais alipotangazwa je na mwaka huu watasubiria nn!
 
Kuna hitirafu kidogo ya nguvu za umeme kwenye mitambo pia IT wote wapo kule Dom wanaseti CCTV CAMERA kwa ajili ya mkutano kuweni wavumilivu soon mambo yatakuwa Sawa ifikapo August 2016
 
Back
Top Bottom