King Kong III
Platinum Member
- Oct 15, 2010
- 64,362
- 99,095
Reime wako fit sana na wana mafundi very professional shida yao hawana magari tu...northern wana vyote hivo lakini technical team hovyo...huyo chief engineer anaitwa m***e ni uyoga mtupu..alikuwa fundi wa umeme anachomelea ma grill sijui wapi ndo kawekwa hapo ni balaaaa
Mkuu noma kutaja majina ya watu kaka edit post,pivotech walitisha sana miaka ile walikuwa wanakula bata sana na mafuta ya sites sasa wamefua wamekimbulia congo huko