Website ya Marktech imedukuliwa..

snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Sidhani kama ndiyo maana ya neno dukuliwa!!...labda mimi kiswahili changu hakiko vizuri!!!

.
DUKUA, UDUKUAJI, DUKULIWA
.
haya maneno kwa kawaida lazima yatakuchanganya kwa kuyaangalia hv hv hayaendani na maneno haya
.
HACK, HACKING, HACKED
.
ila Kiswahili kimekosa misamiati nadhan hayo maneno yanaweza yakawa sahih au si sahihi
.
HUO NI MTAZAMO WANGU
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
Imedukuliwa na northern engineering works ltd ..maana hawa ndo wameiondoa marktech kwenye market ya kazi za helios
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,705
2,000
Admin kanjanja wengi sana, na baadhi ya watu kutothamini Web zao na kutoziwekea security nzuri pasipo kujua zinawatangaza na kuwaingizia vipato.

Paka mda huu site bado imeshikiliwa... unadhani hapo kuna Admin anaefikiria usalama wa iyo site?

Kuna jambo hapo si bure
 
King Kong III

JF-Expert Member
Oct 15, 2010
36,299
2,000
Imedukuliwa na northern engineering works ltd ..maana hawa ndo wameiondoa marktech kwenye market ya kazi za helios

Makteck mbona wana mashavu ya kutosha kutoka vodacom? Northern Eng Works Ltd(NEWL) na Helios Tower mbona wanakazi Tofauti? NEWL wanasupport minara power na transmission,Helios wanakodisha minara yao kwa makampuni ya simu.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
Makteck mbona wana mashavu ya kutosha kutoka vodacom? Northern Eng Works Ltd(NEWL) na Helios Tower mbona wanakazi Tofauti? NEWL wanasupport minara power na transmission,Helios wanakodisha minara yao kwa makampuni ya simu.

Helios wamenunua minara yote ya voda na tigo...voda hawana ownwership ya mnara hta mmoja...helios ndo inatoa kazi za maintainance ya minara wa hao northern engineering ,marktech na wengineo...marktech wamekosa tender iliyotokewa na helios kufanya maintainance ya towers za vodacom na tigo....ushanifahamu mpaka hapo? So be aware kuwa vodacom na tigo as of sept 2013 hawana mnara hata mmoja yote imeuzwa kwa helios
 
Fadhili Paulo

Verified Member
Sep 1, 2011
3,220
2,000
Admin kanjanja wengi sana, na baadhi ya watu kutothamini Web zao na kutoziwekea security nzuri pasipo kujua zinawatangaza na kuwaingizia vipato.

Paka mda huu site bado imeshikiliwa... unadhani hapo kuna Admin anaefikiria usalama wa iyo site?

Sometime siyo admin kanjanja ila kuna watu unao-share nao passwords nao pia wanaweza kukuangusha wakitumika vibaya kwa maksudi au pasipokujijuwa.
 
snipa

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
4,134
2,000
Gogo Vivu , Fadhili Paulo ,
.
Hata web mtu a code vipi,
huwa kunakuwa na some human error na vitu vingne..
.
ndo mana ukisha tengeneza web or web app unatakiwa kuwaomba watu hususan PENTESTERS waipitie kiroho safi afu wakupe bugs
.
ila hv hv kuna kazi kubwa, JIULIZE KAMA IYO WEB ILIPITIWA KUHAKIKISHWA KAMA NI SECURED ndo mana wamesema poor SECURITY ..
.
 
Last edited by a moderator:

ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,694
2,000
Helios wamenunua minara yote ya voda na tigo...voda hawana ownwership ya mnara hta mmoja...helios ndo inatoa kazi za maintainance ya minara wa hao northern engineering ,marktech na wengineo...marktech wamekosa tender iliyotokewa na helios kufanya maintainance ya towers za vodacom na tigo....ushanifahamu mpaka hapo? So be aware kuwa vodacom na tigo as of sept 2013 hawana mnara hata mmoja yote imeuzwa kwa helios

hii kuuza inasaidia nini hasa katika uendeshaji mkuu.
 
Kigogo

JF-Expert Member
Dec 14, 2007
20,532
2,000
hii kuuza inasaidia nini hasa katika uendeshaji mkuu.

Inapunguza cost za maintainance ya minara..kwani helios ndo wanafanya kila kitu ..voda na tigo wao wananunua service kwa helios na kufunga hayo maradio na bts kwenye hizo towers kwa ajili ya transmission basi...
 
Ethical Ninja CEH

JF-Expert Member
May 16, 2011
3,705
2,000
C++ usemacho ni kweli sipingani na wewe hata kidogo.
Ila na udhaifu wa Admin pia huchangia, mfano paka mda huu uyo hacker kaishikilia iyo web, sasa hapo kweli kuna Admin au wameicha web ijiendeshe yenyewe?

Gogo Vivu , Fadhili Paulo ,
.
Hata web mtu a code vipi,
huwa kunakuwa na some human error na vitu vingne..
.
ndo mana ukisha tengeneza web or web app unatakiwa kuwaomba watu hususan PENTESTERS waipitie kiroho safi afu wakupe bugs
.
ila hv hv kuna kazi kubwa, JIULIZE KAMA IYO WEB ILIPITIWA KUHAKIKISHWA KAMA NI SECURED ndo mana wamesema poor SECURITY ..
.
 
Last edited by a moderator:

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom