Website ya IKULU na miradi ya COMPUTER ya Serikali

This country is a disgrace

kwa nini waandishi wa habari hawamuulizi Salva kuhusu hili suala anapofanya interview na media?
 

Sijapata kuona comment ambayo imekuwa ya kiwango kisichokidhi haja kama hii yako kwamba huwa tunachagua chama badala ya mtu. Kama tunachagua chama badala ya mtu kuna haja gani ya mtu kufanya kampeni kutafuta kura kwa wananchi? Kama mpango ni huo tungekuwa tunapigia kura chama si mtu na chama kingeweka madarakani wanaowataka kwa vile ni chama kilichochaguliwa na wala si mtu. Kiwango chako hicho cha kujadili kwa hakika it lakes all depth. Sitazamii kuna watanzania wenye kufikiri kwa kiwango chako.

Naweza kukiri kwamba niliyojadili kuhusu Muhongo kuwa msomi asiyeelimika kumbe si peke yake wapo wengi ambao hawajaelimika kwa kiwango cha bandiko lako.
 
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete ambaye anaendelea na matitabu yake nchini Marekani, leo, Jumatano, Novemba 12, 2014, anatarajiwa kutoka wodini katika Hospitali ya Johns Hopkins na kuhamishiwa kwenye Hoteli Maalum ambako ataendelea kuwa chini ya uangalizi wa madaktari.

Rais Kikwete amekuwa kwenye Hospitali ya Johns Hopkins tokea Jumamosi iliyopita wakati alipofanyikwa upasuaji wa tezi dume
(prostrate) na afya yake imekuwa inaimarika kiasi cha kuanza mazoezi ya kutembea.

Kutokana na kuondolewa kwa bandeji kwenye mshono ambao
nao umeanza kukauka vizuri, Rais Kikwete baadaye leo atahamishwa kutoka wodini kwenda kwenye
Hospitali Maalum yenye uhusiano na Hospitali ya Johns Hopkins iliyoko karibu na hospitali hiyo.

Akiwa kwenye
Hoteli Maalum hiyo, Rais Kikwete ataendelea kupatiwa matibabu, kutembelewa mara kwa mara na madaktari na kuwa chini ya uangalizi wa wauguzi muda wote. Wiki moja baadaye, Rais Kikwete atafanyiwa tathmini ya kuwawezesha madaktari kuamua hatua inayofuata ya matibabu yake.

Wakati huo huo, kwa sababu ya wingi wa ujumbe mfupi wa simu (sms) ambazo amekuwa anazipokea Rais Kikwete, imeanzishwa namba maalum ya simu ambako wananchi wanaweza kuwasiliana kwa sms na Mhe. Rais. Namba hiyo ni +1-646-309-2295.

Imetolewa na:

Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
12 Novemba, 2014
 
Nimegundua kuwa website ya Ikulu (ambayo iko hosted na NTT pale Centennial Colorado) ina page maalumu ya CCM. Je katika nchi ya vyama vingi hiyo kweli ni halali?
Njooni muone maajabu haya hapa
 
Nimegundua kuwa website ya Ikulu (ambayo iko hosted na NTT pale Centennial Colorado) ina page maalumu ya CCM. Je katika nchi ya vyama vingi hiyo kweli ni halali?
Aisee.

Ni hatari kweli kweli
 
Zamani ulikuwa unatema point sana, ila sasa baada ya kupewa makate, mmmmhh.

Ngoja nikuache nisikuharibie Kitumbua cha Makinikia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…