Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

Website ya CHADEMA ina matatizo gani?

ebrah

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2010
Posts
396
Reaction score
50
Habari za siku nyingi kidogo wana JF!

Habari za mapambano ya mabadiliko wana CHADEMA wenzangu, nina swali kidogo kuhusu website ya chama chetu, Jamani nani muhusika mkuu wa hii web? mbona inatumia technolojia ya zamani hivyo? Na mbona links nyingi hazifanyi kazi?

This is not fair kwakweli viongozi wa juu angalieni hili, ni source kubwa sana ya habari rasmi za chama na taifa pale ambapo serikali inapindisha baadhi ya habari, hii website inatakiwa iwe source ya taarifa muhimu za chama na watu tunapozihitaji tuzikute huko.

Tukikutana na habari za juu juu kwenye vyombo vingine kwenye web tukute kwa undani! pls naomba majibu kutoka kwa wahusika!

website inasema ili ujue misimamo,sera na KATIBA zao lazima uwe na password ndio utapata kuingia kuisoma. iN SHORT chadema wameamua kuifunga website yao kwa wananchi

Hiki ndicho chama mbadala ambacho kinategemewa kuchukua nchi in 2 years time

soma hapa:

http://www.chadema.or.tz/

attachment.php


kazi tunayo maana kila nikijaribu kujua tofauti kazi ya CHADEMA na CCM nashindwa kupata tofauti.
 
Wamekusikia! Tafadhalini JJ Mnyika toa majibu hapo.
 
Usije mlaumu Mnyika yuko busy kutatua kero za wananchi wa Ubungo kwani ni Novemba 2012, hadi hivi sasa uetekelezaji wa ahadi alizozitoa wakati wa kampeni 2010 ni chini ya 10%
 
.. GOOGLE mbona hizi zilizoorodheshwa hapa ni chache tu na bado hadi sasa anaendelea kuahidi...
 
Last edited by a moderator:
Usije mlaumu Mnyika yuko busy kutatua kero za wananchi wa Ubungo kwani ni Novemba 2012, hadi hivi sasa uetekelezaji wa ahadi alizozitoa wakati wa kampeni 2010 ni chini ya 10%

10% kwa vigezo vya Lumumba correct
 
kama kawaida JF watu wanaacha kujadili mada wanashambuliana wao kwa wao! inatia huruma sana namna jf inavozidi kupoteza sifa!
 
kama kawaida JF watu wanaacha kujadili mada wanashambuliana wao kwa wao! inatia huruma sana namna jf inavozidi kupoteza sifa!

jaman turudi ktk mada
nani anahusika na weeb ya chama chetu chadema? tunahitaji mabadiliko!
 
jaman turudi ktk mada
nani anahusika na weeb ya chama chetu chadema? tunahitaji mabadiliko!
ni muda sasa web bado kingu mkuti sijui kunani
ukifungua tu utapata jibu " it is under construction" ni bora irekebishwe haraka wakuu
 
Uhuru mlopewa watanzania mnautumia vibaya na iko siku mtaukumbuka tu hiv ukiulizwa utoe fact za tuhuma unazotoa kwa Rais wako na nchi kwa ujumla unazo? hizo ndio siasa za majitaka
 
Sina uhakika kama wanatilia umuhimu unaostahili hii ishu .... CHADEMA kwenye hili please, hebu tuwe serious kidogo, tusioneane haya! Kama mmepitiwa tunaomba muamke haraka sana .....
 
Uhuru mlopewa watanzania mnautumia vibaya na iko siku mtaukumbuka tu hiv ukiulizwa utoe fact za tuhuma unazotoa kwa Rais wako na nchi kwa ujumla unazo? hizo ndio siasa za majitaka

Hiyo ndo demokrasia mzee gamba, hatishwi mtu nyau! Hayo mavitisho peleka North Korea, China, Russia na Iran
Uhuru hatupewi na kikwete wala usalama wa taifa, ni haki yetu ya msingi na huwezi kutunyanganya. Tutawachagua viongozi wetu na kuwasema tutakavyo wenyewe kama hutaki kamata kamba ukajinyonge
 
Nguvu ya Umma!​
bendera.jpg
[h=3]Webiste under Construction...[/h][h=3][/h]
Contact us:
Email: info@chadema.or.tz
Tunaomba irekebishwe kuna mambo ya muhimu tunahitaji
 
Kwa msaada wenu wana Jf, Ni kwa muda mrefu sasa website ya chama chetu pendwa kiko under contruction na kama kauli mbiu ya chama kuwa ni chama makini, na kwa kuwa tumevumilia vya kutosha sasa tunaomba mh Mnyika aje hapa na majibu ya uhakika kwamba site hiyo itakuwa tayari lini tuache kuifungua kila siku mpaka hapo itakapokuwa tayari, naomba wadau wote na wapenzi wa CHADEMA tupige kelele kwapamoja, ahsante
 
Kama sikosei hii ni zaidi ya mara ya pili hili suala linaongelewa hapa bila hata kupatiwa majibu......ptuuuuuuuuuuu
 
Back
Top Bottom