Website ya bodi ya mkopo vipi tena? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Website ya bodi ya mkopo vipi tena?

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mshiiri, Oct 9, 2009.

 1. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #1
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
  Ni kitu cha kushangaza sana ikiwa webmaster wa UDSM ICT ndiye webmaster wa HESLB na ame-upload contents za UDSM ICT kwenye HESLB. What a shame?!!!! Ukifungua http://heslb.go.tz unapata contents za UDSM ICT.

  Kazi kama hamuiwezi bora muache. Hii katika habari ni sawa na kupasua ubongo kwa mgonjwa wa jipu mguuni. Anyhow it is very interesting and surprising likewise. WAKE UP!!
   
 2. E

  EMMANUEL SHOMBE Member

  #2
  Oct 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Anajua vizuri colification yake? au mwangaaa?
   
 3. E

  EMMANUEL SHOMBE Member

  #3
  Oct 9, 2009
  Joined: Oct 2, 2009
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  si vizuri kuchezea vichwa vya watu
   
 4. Josh Michael

  Josh Michael JF-Expert Member

  #4
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,525
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nenda kwenye site ya Technology kule utaona kwa nini haifunguki. hivyo inabidi wafash out programmes na majina yote ya ya data base au wascan hayo majina ili virus huyo afe na aondoke
   
 5. Mshiiri

  Mshiiri JF-Expert Member

  #5
  Oct 9, 2009
  Joined: Jun 16, 2008
  Messages: 1,893
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 145
Loading...