Nani kafanyiwa hujuma?
Sio hujuma hao sullivan hawana chochote cha kutoa au ku invest hapa ni siasa 2 na utapeli wake. Wao husema ati wanawashawishi black American kuja ku invest africa lakini mhh hakuna kati ya wamerikani 40 matajiri zaidi ambao wanakuja huku.hawa ni watalii tu. Tusubiri tuone wata invest kitu gani ? Nitatoa zawadi kwa wanajamii
Mkuu mbona mie nimefungua poa tu haina tatizo loloteMgeni yeyote atakapo search hayo maneno kutafuta details za mkutano atakutana na search results zenye site of course lakini na maneno yakusema u-si-access hiyo site kwa kuwa "This site may harm your computer."
.....don't you get the picture?
Maelezo yameshiba haya... ShukraniWakati mwingine inategemeana na Coding zilizotumika kwenye site husika, hii Google imeundwa na mechanism ambayo inatambua baadhi ya "CODE" kama kirusi na hii inawekwa ili kuzuia kirusi cha aina yeyote na utaona kama ukitumia Yahoo inakubali [media]http://search.yahoo.com/search?p=The+Sullivan+Summit+Arusha&vc=&fr=yfp-t-501&toggle=1&cop=mss&ei=UTF-8&fp_ip=MY[/media]
Hawa wenye brouser au Database yao inazitambua hizo Code ndio maana na pia inategemea na Security Level ya Database husika.
I really meant this:Ukitembelea na FireFox na ukiwa na Kaspersky Internet Suite 7 utapata maelezo ya zaidi!