Website ya 8th Leon H. Sullivan Summit (Tanzania) ina malware

MwanaHaki

R I P
Oct 17, 2006
2,401
705
MwanaHaki kwa kutafuta dili sikuwezi.

Yaani ushawasoma security yao ilivyo low, ukawabandika kidudumtu, sasa unataka wakutafute na kukulipa uwaondolee.Inakua kama hadithi za mafiosi wanaokuibia halafu wanakuambia kitu chako kinaweza kupatikana, kidau unacho? (I kidding MwanaHaki, I kid :) )
 
Jamani uki-search kwa kutumia maneno haya "The Sullivan Summit Arusha" kwenye google.com

Utapada maneno haya chini....na ndio search result ya kwanza... jamani saidieni kuokoa jahazi... Jaribu mwenye au click here

The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania
This site may harm your computer.
The Sullivan Summit The Leon H. Sullivan Summits bring together the world's political and business leaders, delegates representing national and ...
www.thesullivansummit.go.tz/ - Similar pages
 
Nani kafanyiwa hujuma?

Mgeni yeyote atakapo search hayo maneno kutafuta details za mkutano atakutana na search results zenye site of course lakini na maneno yakusema u-si-access hiyo site kwa kuwa "This site may harm your computer."

.....don't you get the picture?
 
washenzi sana hawa, huu ni uhujumu uchumi. we need to act!
kuna mwenye mawazo nini kifanyike?am empty!!!
 
Sio hujuma hao sullivan hawana chochote cha kutoa au ku invest hapa ni siasa 2 na utapeli wake. Wao husema ati wanawashawishi black American kuja ku invest africa lakini mhh hakuna kati ya wamerikani 40 matajiri zaidi ambao wanakuja huku.hawa ni watalii tu. Tusubiri tuone wata invest kitu gani ? Nitatoa zawadi kwa wanajamii
 
Mwekezaji sio lazima awe kwenye list ya watu matajiri zaidi.
Mnaombwa kusaidia kuondoa hujuma iliyojitokeza, kama huna mchango ni bora kukaa kimya kuliko kusambaza kirusi cha mawazo duni.
 
Wakati mwingine inategemeana na Coding zilizotumika kwenye site husika, hii Google imeundwa na mechanism ambayo inatambua baadhi ya "CODE" kama kirusi na hii inawekwa ili kuzuia kirusi cha aina yeyote na utaona kama ukitumia Yahoo inakubali [media]http://search.yahoo.com/search?p=The+Sullivan+Summit+Arusha&vc=&fr=yfp-t-501&toggle=1&cop=mss&ei=UTF-8&fp_ip=MY[/media]
Hawa wenye brouser au Database yao inazitambua hizo Code ndio maana na pia inategemea na Security Level ya Database husika.
 
Mgeni yeyote atakapo search hayo maneno kutafuta details za mkutano atakutana na search results zenye site of course lakini na maneno yakusema u-si-access hiyo site kwa kuwa "This site may harm your computer."

.....don't you get the picture?
Mkuu mbona mie nimefungua poa tu haina tatizo lolote
 
sema hawa viongozi wetu ni ushamba unawasumbua na wengi hawajatembea kwa sababu kama wangewajua hawa black american walivyo na dharau wala wasingethubutu kuwaalika ni bora wangewaalika wazungu 50 kulicho hawa jamaa 1000, hamna kitu wengi wanataka kumwona tembo na kutusanifu tuu jinsi tulivyo nyuma hawana lolote
 
Wakati mwingine inategemeana na Coding zilizotumika kwenye site husika, hii Google imeundwa na mechanism ambayo inatambua baadhi ya "CODE" kama kirusi na hii inawekwa ili kuzuia kirusi cha aina yeyote na utaona kama ukitumia Yahoo inakubali [media]http://search.yahoo.com/search?p=The+Sullivan+Summit+Arusha&vc=&fr=yfp-t-501&toggle=1&cop=mss&ei=UTF-8&fp_ip=MY[/media]
Hawa wenye brouser au Database yao inazitambua hizo Code ndio maana na pia inategemea na Security Level ya Database husika.
Maelezo yameshiba haya... Shukrani
 
Niko against na mpangilio mzima wa kuwapeleka vendors kwenye summit, nilifatilia ktk news wengi wa watanzania washiriki wanasema kuwa wanatarajia kuuza ktk sulivan na hiyo ni picha kuwa hawajui nini wanakifata pale. Yaani ni wachache wenye matarajio ya kuongeza uelewa ktk mfumo wa biashara na uwekezaji wa kimataifa.... Waziri wa viwanda na biashara na mwenzake wa utalii ni vilaza kwa kutupwa. We need innovative ideas on how we (wajasiriamali) can move forth to suport our economic growth (country). Angalieni wakenya watakaokuja sulivan na mtajua ninachokisema....

Nauombea heri mkutano uwe na faida kwa Tanzania (ingawa viongozi ni vilaza kinoma). Mungu atusaidie
 
The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania
This site may harm your computer.
The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania. ... The Sullivan Summit The Leon H. Sullivan Summits bring together the world's political and business leaders, ...
www.thesullivansummit.go.tz/ - Similar pages
The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania
This site may harm your computer.
The 8th Sullivan Summit - Arusha | Tanzania. ... the Foundation organizes the biennial Leon H. Sullivan Summits and Leon H. Sullivan Summit Awards Dinners, ...
www.thesullivansummit.go.tz/sullivan.asp - Similar pages
More results from www.thesullivansummit.go.tz »

Wenye kuweza kutuambia nini maana ya hayo maneno "This site may harm your Computer" sio kitu cha kudharau jamani nimeshidwa kuingia kwenye hii site
 
Ukitembelea na FireFox na ukiwa na Kaspersky Internet Suite 7 utapata maelezo ya zaidi!
 
Ukitembelea na FireFox na ukiwa na Kaspersky Internet Suite 7 utapata maelezo ya zaidi!
I really meant this:

Sullivan.jpg
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom