Charity, husiogope wewe nipe elimu banauna consultation fee?
Me kipaji changu biashara.labda niwe dalali wa kukutafutia mtaalamu,then utanilipa hela ya udalali.Charity, husiogope wewe nipe elimu bana
Charity, mie huwa sikwaziki bana, full furaha na shangwe hapa na wagonjwa wanguMe kipaji changu biashara.labda niwe dalali wa kukutafutia mtaalamu,then utanilipa hela ya udalali.
Samahani kama nimekukwaza.
Duh!! Naona kimya hapa
Mkuu Idimi asante sana kwa hiliMkuu nadhani inategemeana na aina ya website ambayo unaitumia. Hapa kuna wataalamu wa tools mbali mbali za kutengenezea website, cha muhimu ungesema website yako ina content gani na imetengenezwa kwa lugha ipi kati ya
-Html
-Xhtml
-Xml
-Php
-Css ,,,,n.k. Naamini kuna wataalamu wengi sana hapa JF wa ujuzi huo.
Ok, get on
Asante mtazamaji kwa ushauri bombaSwali lako liko too general
Ukisema Update una maanisha nini. Contents au Scripts?
Kama ni Content inategema aina ya web site.kuna Database driven Website( Two tier/three tier) na kuna nyingine Aplication na data zinachanganywa (One tier)
Kufanya update ya contents kwenye website iliyotengenezwa kwa Two or Three Tier hakuhitaji sana ujue mambo ya Web programming.
Lakini kufanya upadate ya content kwenye one tier website inabdi ujue abc za web programming.
So be specific
uzuri wa yote web programming imekuwa rahisi kiasi siku hizi kuna tools kama Adobe Dreamweaver CS4 zinaweza kukusaidi.
Asante mtazamaji kwa ushauri bomba
Mimi nataka kua-update contents Mkuu