Website publishing ?

Realty16

Member
Jan 20, 2016
22
7
Habari wana jF.
Natafuta mtu anayeweza kutengeneza website mfano wa Amazon or ebay ( ambayo muuzaji / mtu au watu wanaweza kuuza bidhaa zao online, uwezo wa muuzaji kuweka picha ya bidhaa na bidhaa zote zikaonekana kwenye page ya mauzo )
Kwa anayeweza tuwasiliane : nitumie email yako or inbox at: agent_china@yahoo.com
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom