Website ni nini

ingia google mkuu haya maneno ya kitecnolojia n vigumu sana kuyaleta kwny kiswahili
 
Hii unayotumia yaani jamii forum ni website. Website ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni zilizo pangiliwa kimantiki kwa lengo la kutoa taarifa (information) au kuchukua taarifa kutoka kwa watumiaji
 
Hii unayotumia yaani jamii forum ni website. Website ni mkusanyiko wa kurasa za mtandaoni zilizo pangiliwa kimantiki kwa lengo la kutoa taarifa (information) au kuchukua taarifa kutoka kwa watumiaji
Wrong...hii ni forum sio website, website kazi yake kubwa ni kutoa taarifa tu, ndani ya website kuna uwezekano wa kuwepo na kitu kinaitwa system (kazi ya iyo system ukuchua taarifa na kupoea taarifa na kuzichakata)

Mfano mdogo: unaweza kuingia kwenye website ya wizara ya nishati maji, iyo website inatoa taarifa mbalimbali za wizara ya maji ila ili uweze kulipia maji kupitia kwenye iyoiyo website utakuta wamei-link na system ya kulipia ayo maji, huo ni mfano tu nimetoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…