Website maintenance

Website maintenance

SunStrong

Member
Joined
Jan 24, 2011
Posts
56
Reaction score
3
Hi, nina website ya kampuni yangu ilitengenezwa kwa kutumia word press, nataka mtu/kampuni nitakayo inia nayo mkataba wa mwaka mmoja wa maintenance. Nakataka nipate mikataba miwili:

1. Mkataba wa kwanza ambao nitakua nalipa per service
2.Mkataba wa pili ambao nitakua nalipa per month/year.

Nataka yote miwili ili niweze ku_compare kwa sababu site yangu haiko that busy.

Please, send through queenmarik@yahoo.com
 
siioni email yako. ni pm info zako na address ya web yenyewe tunafanya kazi kama hizo
 
Back
Top Bottom