Website for sale

Website for sale

Niko Serious

Member
Joined
Feb 28, 2019
Posts
5
Reaction score
8
Business website for sale

Nauza website ambayo imeshafanyiwa kila kitu nitaendelea kutoa ushauri kwa mnunuzi mpaka pale atakapokuwa na uelewa website ni ya biashara na inaeleweka na imetengenezwa kisasa kwa mwenye mahitaji nifate in box tufanye biashara

Sababu za kuiuza ni kwa sababu naeda nje ya nchi kuishi uko sitapata muda wa kufanya kama ilivyomuwa objective zangu

Naweza pia kutoa elimu juu ya wazo la kuanzisha website hii ili uiendeleze kama nilivyotaka iwe.

Yeyote anayehitaji niko hapa

0675269159

Asante .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Weka mawasiliano yako

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ingawaje unajiita Niko Serious lakini nakuona ilipendeza kama ungejiita Sipo Serious, Natania Tu!! Watu wengi wananunua vitu ambavyo hawakupanga kununua kwa sababu tu wamevutiwa baada ya kuviona na sio baada ya kuambiwa! Umeshindwa hata kuweka link ili watu waione hiyo website na badala yake unakimbilia kudai waje PM.

Anyway, watu tumeumbwa tofauti manake kama ndo mimi, sifagalii kabisa biashara za kuitana PM wakati hata huna hata tone la idea ya biashara yenyewe ipo vipi vipi!
 
Mtu akishafanya coding zake ndio kaishia hapo, swala marketing anashindwa.
 
Back
Top Bottom