Habari wakuu,
Leo nimekuja na ofa kwa wale waohitahi kufungua tovuti kwa ajili ya tasisi au watu
binafsi (Personal/NGOS/Charities) Zisizo za kibiashara kwa Tsh.150,000/= ,Hii itajumuisha tovuti yenyewe,barua pepe, hosting mwaka mzima pamoja na jina.
Ofa hii ni kwa ajili wa watu binafsi au tasisi zisizo za kibiashara mpaka tarehe 15/07/2022
Hakutokuwa na malipo ya awali mpaka kazi itakapoisha na ukalizika nayo.
Call/WhatsApp +255765696086.