Sniper JF-Expert Member Joined Mar 8, 2008 Posts 2,008 Reaction score 950 Jan 9, 2012 #1 Katika kupitiapitia website zetu za Tanzania, nimegundua nyingi hazifanyinyi updates. Moja ya kiashiria kikubwa kwamba site ipo up-to-date ni ile sehemu iinayoandikwa "Copyright © Current-year. Website-name. All rights reserved." Japo haimaanishi kwamba website ikiwa inasomeka na copyright ya 2006 maana yake haijawa updated toka 2006, ila ni kiashiria kwamba webmaster hayuko serious kwenye kyfanya update. Kwa website za wenzetu ukiangalia utagundua kuwa inapofika tarehe moja mwaka mpya, na website inakuwa inasomeka copyright ya mwaka huo. Saiv tupo 2012, lakini kuna baadhi ya website bado zinasoma 2005. Baadhi ambazo zinaonesha copyright ya miaka ya nyuma: Mzumbe University (Mzumbe University Welcomes you !!!) - Copyright 2004 - 2005. Ardhi Univerity (Ardhi University - Tanzania: Welcome) - Copyright 2007. TANAPA (The official site of the Tanzania National Parks - Home) - Copyright 2008. Ministry of Agriculture (Tanzania -- Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives- Home Page) - Copyright 2008. Ministry of Energy & Minerals (Ministry of Energy and Minerals - Home -) - Copyright 2008 - 2009. NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) - Copyright 2009. DIT (DIT: Dar es Salaam Institute of Technology) - Copyright 2009. CBE (:: College of Business Education ::) - Homepage inaonesha Copyright 2011, page nyingine Copyright 2006. CCM (Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM) - Copyright 2002 - 2010 IPP (:: IPPMEDIA) - Copyright 1998 - 2010 UCC (University of Dar es Salaam Computing Centre Ltd - Home -) - Copyright - 2010 UDSM (University of Dar es Salaam - Home -) - Copyright 2011 Bunge (Parliament of Tanzania) - Copyright 2011 CRDB (http://www.crdbank.com) - Copyright 2011 Baadhi ambazo ziko updated (Copyright 2012) TRA (http://www.tra.go.tz) NBC (National Bank of Commerce - Conveniently Everywhere) NBAA (National Board of Accountants and Auditors - NBAA) RITA (Registration, Insolvency and Trusteeship Agency : RITA) HakiElimu (HakiElimu - Home) Chadema (Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)) IFM (The Institute of Finance management :: Home) TBC (Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)) USHAURI: Webmasters wekeni automatic scripts ambazo zitajiupdate zenyewe unapofika mwaka mpya.
Katika kupitiapitia website zetu za Tanzania, nimegundua nyingi hazifanyinyi updates. Moja ya kiashiria kikubwa kwamba site ipo up-to-date ni ile sehemu iinayoandikwa "Copyright © Current-year. Website-name. All rights reserved." Japo haimaanishi kwamba website ikiwa inasomeka na copyright ya 2006 maana yake haijawa updated toka 2006, ila ni kiashiria kwamba webmaster hayuko serious kwenye kyfanya update. Kwa website za wenzetu ukiangalia utagundua kuwa inapofika tarehe moja mwaka mpya, na website inakuwa inasomeka copyright ya mwaka huo. Saiv tupo 2012, lakini kuna baadhi ya website bado zinasoma 2005. Baadhi ambazo zinaonesha copyright ya miaka ya nyuma: Mzumbe University (Mzumbe University Welcomes you !!!) - Copyright 2004 - 2005. Ardhi Univerity (Ardhi University - Tanzania: Welcome) - Copyright 2007. TANAPA (The official site of the Tanzania National Parks - Home) - Copyright 2008. Ministry of Agriculture (Tanzania -- Ministry Of Agriculture, Food and Cooperatives- Home Page) - Copyright 2008. Ministry of Energy & Minerals (Ministry of Energy and Minerals - Home -) - Copyright 2008 - 2009. NECTA (The National Examinations Council of Tanzania) - Copyright 2009. DIT (DIT: Dar es Salaam Institute of Technology) - Copyright 2009. CBE (:: College of Business Education ::) - Homepage inaonesha Copyright 2011, page nyingine Copyright 2006. CCM (Website Rasmi ya Chama Cha Mapinduzi - CCM) - Copyright 2002 - 2010 IPP (:: IPPMEDIA) - Copyright 1998 - 2010 UCC (University of Dar es Salaam Computing Centre Ltd - Home -) - Copyright - 2010 UDSM (University of Dar es Salaam - Home -) - Copyright 2011 Bunge (Parliament of Tanzania) - Copyright 2011 CRDB (http://www.crdbank.com) - Copyright 2011 Baadhi ambazo ziko updated (Copyright 2012) TRA (http://www.tra.go.tz) NBC (National Bank of Commerce - Conveniently Everywhere) NBAA (National Board of Accountants and Auditors - NBAA) RITA (Registration, Insolvency and Trusteeship Agency : RITA) HakiElimu (HakiElimu - Home) Chadema (Tovuti ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)) IFM (The Institute of Finance management :: Home) TBC (Tanzania Broadcasting Corporation - (TBC)) USHAURI: Webmasters wekeni automatic scripts ambazo zitajiupdate zenyewe unapofika mwaka mpya.
Mphamvu JF-Expert Member Joined Jan 28, 2011 Posts 10,702 Reaction score 3,348 Feb 7, 2012 #2 Bhaeleze...
Slave JF-Expert Member Joined Dec 6, 2010 Posts 5,313 Reaction score 2,657 Feb 8, 2012 #3 Safi sana.umetufungua wengi.
Benzoic JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 421 Reaction score 149 Feb 9, 2012 #4 halafu unafikiri script yenyewe ya ku update mwaka ni maneno mengi basi ni hivi tuu <?php echo date('Y'); ?> wanaita PHP
halafu unafikiri script yenyewe ya ku update mwaka ni maneno mengi basi ni hivi tuu <?php echo date('Y'); ?> wanaita PHP