FUTURE HUNTER
JF-Expert Member
- Apr 30, 2018
- 2,106
- 2,788
umesikia wapi tena?Niliuwa napitia thread hii nikawa nimefurahi sana mwanzon maana nina passion na web designing ila sikupata lugha sahihi ya kujifunzia.
Hakika nimepata huzuni sana kuona host wa thread alifariki.Da hiki kifo jaman.Mungu amrehemu msamiati kwa kazi nzuri aliyoifanya hapa jf.
Cc Invisible, JamiiForums, Active, Moderator, Maxence Melo.Hii nyuzi naomba ipigwe pin kabisa!!
Hii Ni hazina !!
Au mwasemaje
Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app