Msukule Msafi
Member
- Oct 10, 2018
- 55
- 48
Weka site yako hapaHabari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products.
Platform ya web yangu nilotumia ni Wordpress
Nawasilisha.
View attachment 1312693
Sent using Jamii Forums mobile app
last seen today lakini hajibu, Alikuwa anaijaribu JF ikojeWeka site yako hapa
Embu tumsubiri labda hajaona notification 😀last seen today lakini hajibu, Alikuwa anaijaribu JF ikoje
Nimekupigia simu haipokelewi mkuulast seen today lakini hajibu, Alikuwa anaijaribu JF ikoje
🤣 🤣
Wakuu nafikir hii ni moja ya sababu inayofanya watu wengi hawaibuki na kukua katika fani zao.Unapomwambia akupigia simu maana yake unajua na unataka biashara.Unachotakiwa kufanya ili kujenga credibility yako mtandaoni ni kutoa brief maelezo ya jinsi uo mfumo unavofanya kazi na nini kinapaswa kufanywa in brief kisha baada ya maelezo yako unamwambia akupatie link ya site na contact zako iwapo anahitaji msaada.Kwa kufanya hivyo unakuwa umeonyesha kuwa wewe ni developer mzuri na sio mchoyo wa maarifa na hivyo utaweza kujenga personal brand.
Habari mkuu,kwa kutegemea platform uliyotumia kutengeneza site yako kuna namna tofauti.Solution nyingine zinaweza itaji markebisho kidogo kwenye code,nyingine zinaweza kuhitaji kuweka plugin,na nyingine zinaweza kuhitaji kubadili kabisa platform yako unayotumia.Habari wakuu, nina website ya ecommerce nimekwama mahali ninahitaji niwe naweka price ranges kutokana na quantity atakayo order mteja mfano wa hizi products.
Platform ya web yangu nilotumia ni Wordpress
Nawasilisha.
View attachment 1312693
Sent using Jamii Forums mobile app
ndugu mm sijakwambia unipigie simu nimesema whatsapp nikiwa na maana yangu nicheck whatsapp
As if inawezekana tu meet tuzungumze kazindugu mm sijakwambia unipigie simu nimesema whatsapp nikiwa na maana yangu nicheck whatsapp
Mkuu naomba tuonane pm tafadhaliHabari mkuu,kwa kutegemea platform uliyotumia kutengeneza site yako kuna namna tofauti.Solution nyingine zinaweza itaji markebisho kidogo kwenye code,nyingine zinaweza kuhitaji kuweka plugin,na nyingine zinaweza kuhitaji kubadili kabisa platform yako unayotumia.
Vile vile inategemea lugha na uzoefu wako katika desgn.Hivyo basi ni vyema ukaweka hata sample code ya shorping cart yako ila ifanyiwe ukaguzi.Pia waweza weka link ya site yako iwapo ipo online
Karibu
Hii namba haipo whatsapp nduguKazi ndogo sana si unataka kama kwenye Picha hapo chini, Nichek whatsapp +255628981786
View attachment 1312934
Ni biashara pia tunaweza fanyaNilikuambia weka link ya Wavuti yako hapa hautaki Sasa unalaumu unataka msaada au biashara?!.
Weka link tuone wengine kwa kuangalia picha inasumbua angalia usije anzisha Uzi unasema.
"East Africa Hakuna web developers"