web box ya vodacom

emike

JF-Expert Member
Sep 13, 2011
345
108
salaam zenu wana jf, kwa mara ya kwanza jana niliona adv itv ya kampuni ya voda ya kitu kinaitwa web box ambayo inakuwezesha kuunganishwa na internet kwa kutumia tv ya kawaida kama screen, naomba kama kuna wajuzi wa it kutoka voda au mtu yeyote aliyekwisha itumia anijuze yafuatayo 1.je unaweza kutumia screen ya computer na chombo hicho badala ya tv 2.je speed yake ni nzuri, ni 3g au??? 3.je unaweza kutumia chip ya mitandao mingine??? ahsanteni
 
Webbox ni reject technology ya ulaya. Ni toy internet na spidi yake ni gprs/edge ambayo ni very slow.
inatumia opera mini kama browser hivyo animations na video zinazihitaji flash haziwezi ku-load.
picha ni analogue maana zinapelekwa kwenye screen ya tv kupitia RCA cables kama za video deck
kwa watoto ni okay lakini bei ya 180000 ni heri utumie hiyo hela kwa jambo lingine la maana.
 
very good explanation, thank you!
 
Mkuu hujakosea kabisa hiyo webbox uozo tu usijaribu hata kununua
 
Webbox ni reject technology ya ulaya. Ni toy internet na spidi yake ni gprs/edge ambayo ni very slow.
inatumia opera mini kama browser hivyo animations na video zinazihitaji flash haziwezi ku-load.
picha ni analogue maana zinapelekwa kwenye screen ya tv kupitia RCA cables kama za video deck
kwa watoto ni okay lakini bei ya 180000 ni heri utumie hiyo hela kwa jambo lingine la maana.
Asante Mkuu kwa taarifa hii, umetuepusha wengi kuingia mkenge
 
Vodafone-webbox-slide2.png

.
Kinatumia android 2.1,
GPRS/EDGE japokuwa 3G coming soon
.
image_thumb11.png

.
Kina Android 2.1 Èclair ikiwa na mana inakuja na baadh ya softwares, kama vile operamini on board ambayo ina compress up to 90% ya web pages,
.unaweza kutuma email, sms na facebook connection, kwa kutumia app.
.
vodafone_webbox_keyboard.jpg

.
Kama kawaida any android Os inakuja na apps kama vile,
calculator/notes app/calender/ you tube/ engl dictionary n.k
.Pia unaweza kuplay mizik/ na ku watch videos online za you tube.
.
images

.
Kina Micro SD card Store, ambapo kama voda hawafany wiz huwa kinakuja na 2GB microSD card/ Na data bundle 100MB
.Kwa kawaida Vodafone wali zi target inch masikin (developing)countries ambapo kwa mala ya kwanza kili be lunch in, South Afrika, na kufuatia Ghana, Kenya, India and Turkey.
.
Hi ni kuwafanya wasio na PC waweze ku afford internent
 
Back
Top Bottom