Rais wa Taifa Kubwa na Tajiri yuko kawaida, wa kwetu nchi yenye uchumi duni anakuwa na majigambo na mlinzi nyuma kila wakati kama tuko vitani!
Wetu anatoa pipi njiani
Wetu anatoa pipi njiani
Alafu najiuliza msafara wote wa walinzi wakati mtu mwenyewe kucha yuko misibani uchochoroni. Kweli ulinzi una kazi pale? afadhali angekua anajiachia tu mwenyewe. Kama watu wangekua na nia mbaya naye wangeshammaliza misibani, maana ameshajulikana type ipi ya misiba lazima atie timu so watu wanaweza kujipanga. lakini hii nchi ya amani ajiachie tu!Rais wa Taifa Kubwa na Tajiri yuko kawaida, wa kwetu nchi yenye uchumi duni anakuwa na majigambo na mlinzi nyuma kila wakati kama tuko vitani!