We Unawezaa......??

We Unawezaa......??

chopeko

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2012
Posts
1,527
Reaction score
1,113
Barabarani jamaa kafunguka...sasa sijui walikuwa wanajuana au zima moto!!!

attachment.php
 

Attachments

  • 112212_01_8_20130216092818.jpg
    112212_01_8_20130216092818.jpg
    21.6 KB · Views: 916
Hakuna lolote ni ushamba tu. Hata Wadhungu wenyewe wanaofanya hivyo ni Wachache sana leo hii.

Ndiyo hawa kwenye Mazishi wanapiga suti NYEUSI, na jua lote la Africa, si kasheshe?
Tekinologia mkuu
 
Mkuu, goti anapigiwa Mungu peke yake..... Teteteteeee....

Hizi Mila na Unyamwezi wapi na wapi? Kuchafua tu suruali na kibaya zaidi akikuambia HAPANA ku-rupublic lwa watu?

Haya mambo wakati mwingine ni kutafuta tu lawama kwa Wanawake eti alikukataa mbele za watu.

Anyway, wengine wanapenda kucheza KAMALI na wana bahati zao, wengine hata Tsh 1 hatujawahi kushinda.
Mkuu, Sikonge wewe hukupiga/hutapiga goti mzee?. Na siku ya Valentine huwa hununui maua..Ha ha ha!.
 
Huyu atakuwa nshomile anayefanya kazi kwenye wodi ya wagonjwa walioshindikana kwa maspecialists(mochwari)
 
sijawahi na sito weza kamwe kummpigia magoti mwanamke kwa sababu yeyote ile.
 
Wakati wangu umepita, ningeweza lakini sasa nitakuwa kichekesho!
 
Back
Top Bottom