We unaonaje?

Hivi nyuzi za maana hua zinapimwa na anayepost au na wasomaji?

Nani hua anaamua kua hii ni nyuzi ya maana kati ya anayepost au wasomaji?

Naomba kueleweshwa.
Both
Kuna nyuzi zinakuwa beyond time,
Kuna nyuzi zinakuwa irrelevant..
Pia kuna nyuzi zinakuwa misunderstood.

Anaye amua kuwa nyuzi hii ni ya maana ni yule aliye post, wengine wapo kutoa validation, opinion, na criticism.
 
Mkuu watu wa sipo like jua hawako interested tuu, kuna nyuzi nyingi tu za maana nimeandika humu na watu hawaku interact..

Usiweke self worth yako kwenye mzani wa opinion za watu wengine
Nyuzi gani hiyo ya maana tuliyoipotezea
 
Nyuzi gani hiyo ya maana tuliyoipotezea
 
taraji p henson una mawazo ya kujenga sana
endelea na moyo huo huo
 
Sasa hii ndo ya maana?😂
 
Sasa hii ndo ya maana?😂
Stop bullying me, kwa upeo wa mtanzania wa mbagala hakiwezi kuwa ya maana ila kwa ma genius tunaopenda kuchangamsha akili zetu ina maana kubwa sana, sasa siwezi kumruhusu kiumbe kama wewe aniambie tofauti😏
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…