La kuchumpa
Member
- Mar 10, 2012
- 69
- 8
ya mimi nimewahi kupata na nilituma details na pesa ikaingia....
aisee tupo wengi kumbe..mimi alivyonitumia akaja na kunitembelea tukazifaidi
hata wangu alikuja tukaenda mbuga za wanyama, tukalala hotel ya nyota 4, tukafanya utalii kwa kutumia hot air balloon(najua wengi hawajafanya hii) na kadhalika na kadhalika.....
mkuu usipotezee mda wako,hao ni watapeli wa internet,na baadaye utatapeliwa mpaka uchanganyikiwe,achana nao
ya mimi nimewahi kupata na nilituma details na pesa ikaingia....
We prete wewe haya we fanya utani tu...
hakuna utani....hiyo ni kweli kabisa na hata chenchi ninayo imebaki nyingi tu.....
hamkuduu...?hata wangu alikuja tukaenda mbuga za wanyama, tukalala hotel ya nyota 4, tukafanya utalii kwa kutumia hot air balloon(najua wengi hawajafanya hii) na kadhalika na kadhalika.....
hamkuduu...?
ya mimi nimewahi kupata na nilituma details na pesa ikaingia....
hata wangu alikuja tukaenda mbuga za wanyama, tukalala hotel ya nyota 4, tukafanya utalii kwa kutumia hot air balloon(najua wengi hawajafanya hii) na kadhalika na kadhalika.....
hatukuduu....alikuwa jinsia yangu....