We teach girls, marriage is most important in life

Kiongozi, I didn't get your point. Clarify tafadhali..

Hata wahindi, ukiwafuatilia, kwa mwanamke, ndoa ndio kila kitu, na atafanya kila aina ya maombi ili aolewr na adumu kwenye ndoa.

Lakini wanaume huwakuti wakifanya haya, na ukiwakuta basi wachache Sana.
 
You do make sense right there. Girls are on the losing side. They don't have the luxury we have, which is no deadline, so they have to get themselves together real quick.

As for us, i can decide to get married at 70, score me a fine young Piece of art around, and start a family.

Just refer Mr. Mengi, the man is probably in his seventies, but hooked himself a cute lady in her thirties.
But there's something we must all learn, marriage should be taught to both from tender age. The importance, love and being passionate to one another...these things kids need to learn through their parents as they grow...!
 
Uoe ukiwa Na 70?
Labda uwe unaishi maisha Kama ya Mengi, na ukipata mtoto lazima ataona aibu kukuita baba wakati wenzake wa Rika lake wakiwa wanakuita babu.
 
His kids don't feel good to call him dad.
 
Hata wahindi, ukiwafuatilia, kwa mwanamke, ndoa ndio kila kitu, na atafanya kila aina ya maombi ili aolewr na adumu kwenye ndoa.

Lakini wanaume huwakuti wakifanya haya, na ukiwakuta basi wachache Sana.

Ni kweli, jamii inaangalia upande mmoja. Lakini ndoa sio ya mwanamke pekee, umuhimu wake kila mtu anatakiwa aufahamu na auishi. Ndio maana huwa nasema, umuhimu wa ndoa tunajifunza taratibu kadri tunavyoishi na kulelewa na wazazi.
Kama umekuwa katika familia ambayo baba anamtwanga mama makonde kila siku, lazima itakuathiri sana na hata mahusiano/ndoa yako yaweza isiwe salama. Lakini kama umeona wazazi wakiishi kwa upendo na kuvumiliana, uwezekano wa kuishi hivyo kwako ni mkubwa
 
Just refer Mr. Mengi, the man is probably in his seventies, but hooked himself a cute lady in her thirties.
But there's something we must all learn, marriage should be taught to both from tender age. The importance, love and being passionate to one another...these things kids need to learn through their parents as they grow...!
Yup! That's a good reference.

I think the most important thing boys should be taught, is how to become men. Being a man comes with everything else, like i said earlier, we are naturals.
 
Uoe ukiwa Na 70?
Labda uwe unaishi maisha Kama ya Mengi, na ukipata mtoto lazima ataona aibu kukuita baba wakati wenzake wa Rika lake wakiwa wanakuita babu.

Cha muhimu ni kuwa baba anayestahili kwa wanao. Hizo zingine ni story tu, tena za uswahilini, ambazo pia ukijipanga hutawahi kuziskia.
 
It means, when you caught your wife cheating, what you will do and when she caught you cheating, what she is doing? (after math I mean)

Strange that you can initiate a thread and yet you do not know what it means.
It seems you are a mentally challenged person.
 
Cha muhimu ni kuwa baba anayestahili kwa wanao. Hizo zingine ni story tu, tena za uswahilini, ambazo pia ukijipanga hutawahi kuziskia.

Mh....ndugu, ni kwanini yule mbunge walie muita bibi alivyojipatia mwanaume jamii ikapiga kelele lakini Mengi kaopoa dogodogo kila mtu anampongeza?

Swali lingine.

Kwa nini ni rahisi kwa mwanaume kumuacha mke, kuliko mke kumuacha mume?
 
Kimsingi, haya maswali nimeshayajibu kwenye comments zangu zilizopo kwenye huu uzi. Pitia tu kwa makini.
 
You do make sense right there. Girls are on the losing side. They don't have the luxury we have, which is no deadline, so they have to get themselves together real quick.

As for us, i can decide to get married at 70, score me a fine young Piece of art around, and start a family.

like mr "machache" did to that young girl eh?ur right
 
ulishawai ona boss anafundishwa kumhandle mfanyakaz wake??? Hao wameletwa duniani kutusaidia sisi wanaume kwahyo sio ajabu wao kufundishwa namna gani sasa ya kuishi na cc na kutufuata ili twende sawa.
 
Kimaandiko zaidi.
 
boys hawahimizwi sana kwa sababu hata ukiwa na miaka 70 unaeza kuoa na ukampa mke wako mimba. ila kwa wasichana ni tofauti kumbuka wao wana kikomo cha uzazi wakifika miaka 55 na kuendelea anakuwa hana uwezo wa kujifungua,, ingawa siku hizi kulingana na vyakula tunavyotumia mwanamke akifika miaka 45 wengi wao wanakosa uwezo wa kupata mimba.

mwisho,, nmekomenti hivyo make lengo kubwa la ndoa ni kutafuta watoto.
 
Hii haiwezi kuwa sababu ya ndoa kuvunjika?
 
Sasa si ukimuelimisha Mwanamke umeelimisha Jamii Nzima.... Sasa Kumuelimisha Muoaji si kazi bure
 
Biological clocks ni kwaajili ya uzazi. The issue is the importance of marriage to girl, why not boy's?

Sasa lengo la ndoa ni nini ... Si ili mzae biological clock inahusika Sana tu
 
Back
Top Bottom