We sophi mletee babu stiki

We sophi mletee babu stiki

KAJICHO KIVULI

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2013
Posts
2,061
Reaction score
546
babu katoka mkoa kaja mjini kwa mwanae,,, jioni akakaribishwa mezani kwa chakula cha usiku akalaa aina nne za chakula

Mara akasikia WE SOPHI MLETEE BABU STIKI:""

mzee akaropoka "JAMANI NIMESHIBA STIKI NIWEKEENI KESHO NITANYWEA CHAI"""

hahahahahahah
''
''''''''''''
''''''''''''''''':A S angel::A S angel:
 
Interesting! Hii inanikumbusha yule mhudumu koko wa hoteli aliyeagizwa na mteja wake amletee tuth pik.
MTEJA: Oyaa, hebu niletee tuth piki
MHUDUMU: Samahani, leo hatujapika tuth pik!
 
Aha huyo naye??

Tatizo wabongo eti mtu akitoka Mkoa mnamuona ni Mshamba! Wakati wengi wenu mmetoka huko huko au kwevile mlitangulia?!
 
Interesting! Hii inanikumbusha yule mhudumu koko wa hoteli aliyeagizwa na mteja wake amletee tuth pik.
MTEJA: Oyaa, hebu niletee tuth piki
MHUDUMU: Samahani, leo hatujapika tuth pik!
Kwani hiyo kitu haina Jina lake kwa kiswahili? Huyo Muhudumu yupo sawa kabisa,mshamba ni huyo aliyeagiza eti "tuth pik" kwani angesema "Mjiti wa kusafishia meno" angepata hasara gani? Tatizo tunathamini lugha za wenzetu kuliko lugha yetu na huo ndio ulimbukeni na ni ushamba!!
 
Kama mji wenyewe ni Dar , wote wakuja wenyeji wazaramo tu. MTU yeyote akielimishwa anaendana na mazingira kiurahisha.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom