We should be spending more time and resources kufanya mambo kama ya jirani zetu Rwanda. Hivi sisi Tanzania tunachoshindwa ni kipi kuwa na fleet ya internet buses kama hawa jamaa?
Are we really serious? Ninakerwa sana, lakini labda kama walivyo wengi wetu hatujui tufanye nini kubadilisha mwelekeo wa nchi yetu, we helpless. Walio madarakani hata hawana idea, au kama wanayo basi wamegoma kuwasaidia wale wasiokuwa na nguvu za kisiasa. Bofya hapo chini usome, kisha linganisha sisi tunafanya nini katika nyanja hiyo.
Rwanda Internet buses
Rwanda Development Gateway

Last edited: