we ndo umeanzisha lakini...

we ndo umeanzisha lakini...

ICUB4

Member
Joined
Jan 5, 2013
Posts
16
Reaction score
2
Siku moja jamaa alikuwa katika matembezi ya jioni akiwa na mke wake; katika tembeatembea yao wakapita sehemu yenye jengo jipya la hotel, yule jamaa akamwambia mkewe vyumba vya hotel hii vidogo...mkewe akaongeza...hata vitanda vyake si vizuri vina kelele sana...mume akaja juu 'we umejuaje vitanda vina kelel' mie nimejua nilivyoingia kupaka rangi, wewe je..mkewe akamjibu 'si uliniambia wewe nlivyokupigia simu ukawa hunisikii kwa kuwa umepanda kwenye kitanda unapaka rangi kwenye dari la hotel'...jamaa akawa kimya! Tafakari...chukua hatua..mana ulianza mwenyewe utani.
 
MMU imevamiwa na viwavi jeshi.

mod, tafadhali hamishia Jokes na Udaku hii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom