SureManeno matamu kama mapaja ya kike
Tunaelewaga kama mtu.anafanya kusudi au ni kweli yupo bize.....usiwazeSiku namimi nikitingwa na kazi sijui utanimwaga???
Hivi stanter mapaja ya mwanamke matam ki vp?yameanza kuliwa lini?Maneno matamu kama mapaja ya kike
Askwambie mtu, Muda ndio kilakitu katika mapenzi,Wapo wanaochati na mabwana zao wakiwa kifuani kwa mchepuko.
Sasa jiaminishe kuwa kuchat ndio ishara ya upendo wa dhati.
Angalau umeongea cha maana, zimeanza kukurudia eeeKweli kabisa