mi nipo zaidi kwenye content...wanamaanisha nini? ni lugha ya picha au
maana mwanaume anasema 'we mwanamke kila siku ni maharage tuuu, ukibadili sana tembele'.....mwanamke anamjibu..."na weye, kama unataka samaki wa kupaka si unifundishe namna ya kupika huyo samaki wa kuoaka?" hapo mni baada ya 'mwanaume kutoka baa na ndizi choma bika chachandu'
nadhani tuanzie hapo
mmh wakwetu....yule baba ni weye nini?....mbona kama tangazo lote umelikariri?

Ishu hapo ni "samaki" a.k.a pole samaki.
Wengine humu huwa mnajidai kupondea. Kwa hisani ya wamerekani wameshtua sasa.
...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.
Mzee Mwanakijiji, where are you???
...Ujumbe kwenye tangazo unaeleweka vizuri tu ingawa tafsidaMleta thread anataka kufahamu je kwenye mabishano kati ya mwanaume na mwanamke nani anaongea kwa kasi zaidi na maneno mengi? Wataalamu wa lugha walikwisha tafiti masuala ya jinsia na lugha hasa kwenye mazungumzo (conversation) na kugundua kuwa wanawake wanaongea maneno mengi katika mada fulani na wanaume maneno machache sana; pia mara nyingi wanaoanzisha, kuongoza, au kubadili na kufunga mada katika hawa wawili ni mwanaume.
Kama unatilia shaka matokeo ya utafiti huu fanya observation - participant or non participant. Tena majibu mazuri yako huko uswazi, sasa sijui na elimu na ugumu wa maisha unamfanya mwanamke kuongea sana! Au hesabu maneno yaliyo kwenye mstari wa mwanaume na mwanamke kwenye hilo tangazo (10 kwa 16) na aliyeanzisha mada ni mwanaume. Tukipata teknolojia ya computer ya kurekodi 'ball possession kwenye mpira wa miguu, inaweza kutusaidia "words production and time taken" katika mazungumzo kati ya Adam na Eva!
Ishu hapo ni "samaki" a.k.a pole samaki.
Wengine humu huwa mnajidai kupondea. Kwa hisani ya wamerekani wameshtua sasa.
...ehhh, swadakta hehehe,..
mie mswahili bana, nishafika mbaaaaaali...
ahh, ngoja nisubirie 'stendi' watu wa mwambao waje hapa.
Mzee Mwanakijiji, where are you???
mmh wakwetu....yule baba ni weye nini?....mbona kama tangazo lote umelikariri?
ha ha ha hivi na hili tangazo ni kwa hisani ya watu wa Marekani?
sadly Yes FL1, kama alivosema mmojawapo hapo juu, naona hadi kwenye mahusiano inabidi tufundishwe namna ya kula ndizi na chachandu na pia samaki wa kupaka...
wenyewe wanasema kuvunja ukimya.....sasa ninachoogopa huu ukimya tukiuvunja na kutaka samaki wa kupaka na ndizi za chachandu......
...Dah! Haya mambo ni balaa niliwahi kukuta jamaa anazozana na demu wake si unajua mambo ya uswazi...kashfa kwa kwenda mbele...aliponimaliza yule dada ni pale alipomwambia jamaa hivi na wewe unajihesabu ni mwanaume? mwanaume gani wewe huku akimuoneshea kidole kidogo cha mwisho cha mkono (ikimaanisha) jamaa kakifaa ni kaduchuuuuu..mwisho akamalizia " mwanaume ni kudandia tu na kutwanga".....nilibaki nimeduwaa...nikaja kusikia jamaa mwenyewe anatokea mgombani...tehhh! tehhh!:attention::attention::attention:Ishu hapo ni "samaki" a.k.a pole samaki.
Wengine humu huwa mnajidai kupondea. Kwa hisani ya wamerekani wameshtua sasa.