Eng. Y. Bihagaze JF-Expert Member Joined Sep 8, 2011 Posts 1,487 Reaction score 914 Dec 7, 2013 #2 Umaskini, Usanii, fani Za maigizo , mbwembwe Na mengineyo ya kutuzogoa, kutung'ong'a Asanteni sana CCM.. Tukutane soon Kwenye sanduku la kura maana hiyo 2015 HAMFIKI..!
Umaskini, Usanii, fani Za maigizo , mbwembwe Na mengineyo ya kutuzogoa, kutung'ong'a Asanteni sana CCM.. Tukutane soon Kwenye sanduku la kura maana hiyo 2015 HAMFIKI..!
gulio JF-Expert Member Joined Apr 29, 2012 Posts 296 Reaction score 68 Dec 7, 2013 #3 Inauma sana. Hela ya shangingi inatoka kwenye hela ya huyo mama na jembe lake. mikono inasema sina kitu cha kukupa. Mungu tusaidie kuona njia zako
Inauma sana. Hela ya shangingi inatoka kwenye hela ya huyo mama na jembe lake. mikono inasema sina kitu cha kukupa. Mungu tusaidie kuona njia zako
Kennedy Platinum Member Joined Dec 28, 2011 Posts 63,048 Reaction score 77,409 Dec 7, 2013 #4 Kama Mzee wa Elephant(Kinana).
S SI unit JF-Expert Member Joined Feb 24, 2012 Posts 1,953 Reaction score 767 Dec 7, 2013 Thread starter #5 gulio said: inauma sana. Hela ya shangingi inatoka kwenye hela ya huyo mama na jembe lake. mikono inasema sina kitu cha kukupa. Mungu tusaidie kuona njia zako Click to expand... sijui anaona ugumu gani kumpa hela ya mboga huyo mama japo apate mlo wa siku
gulio said: inauma sana. Hela ya shangingi inatoka kwenye hela ya huyo mama na jembe lake. mikono inasema sina kitu cha kukupa. Mungu tusaidie kuona njia zako Click to expand... sijui anaona ugumu gani kumpa hela ya mboga huyo mama japo apate mlo wa siku
uran JF-Expert Member Joined Nov 11, 2013 Posts 19,154 Reaction score 32,110 Dec 7, 2013 #6 Huyo ni kinana.kama sijakosea
shanature JF-Expert Member Joined Nov 15, 2010 Posts 1,958 Reaction score 1,866 Dec 7, 2013 #7 tuskerMan
N Nyamajiva JF-Expert Member Joined Aug 1, 2013 Posts 210 Reaction score 23 Dec 7, 2013 #8 SI unit said: View attachment 125349 Click to expand... Mama kang'ang'ania alipwe chake kwa kazi ya kifaa chake ye co c.....u kumtumia ku2pwa, npe changu nsepe
SI unit said: View attachment 125349 Click to expand... Mama kang'ang'ania alipwe chake kwa kazi ya kifaa chake ye co c.....u kumtumia ku2pwa, npe changu nsepe
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Dec 7, 2013 #9 uran said: Huyo ni kinana.kama sijakosea Click to expand... ndovu baaridiiiiiiiiiiii...
kabanga Platinum Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,649 Reaction score 19,042 Dec 7, 2013 #10 hapo alitoa tu....
bysange JF-Expert Member Joined Jan 11, 2011 Posts 4,456 Reaction score 1,565 Dec 7, 2013 #11 Hakika nchii hii mwenye shibe hamjui mwenye njaa,kweli kabisaaa anamdanganya huyo bibi kuwa hana hata mia(bati)...Lol!watu hawa
Hakika nchii hii mwenye shibe hamjui mwenye njaa,kweli kabisaaa anamdanganya huyo bibi kuwa hana hata mia(bati)...Lol!watu hawa
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,495 Reaction score 100,910 Dec 7, 2013 #12 mama WA watu kajinywea mnazi wake mwenye halafu huyo Bwana Ndovu anamzingua.....angen uta "biology" zake atie akili
mama WA watu kajinywea mnazi wake mwenye halafu huyo Bwana Ndovu anamzingua.....angen uta "biology" zake atie akili
F farkhina Platinum Member Joined Mar 14, 2012 Posts 14,568 Reaction score 16,922 Dec 8, 2013 #13 Umri huo hadanganyiki na jambo huyo...
Nambe JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 1,451 Reaction score 534 Dec 8, 2013 #14 Kaaz kweli kweli....
O Otorong'ong'o Platinum Member Joined Aug 17, 2011 Posts 39,545 Reaction score 30,108 Dec 8, 2013 #15 Unafiki huu sijui utaisha lini...CCM ni chama cha kinafiki sana..
P Pure Mathematics Senior Member Joined Mar 8, 2012 Posts 174 Reaction score 52 Dec 8, 2013 #16 farkhina said: Umri huo hadanganyiki na jambo huyo... Click to expand... anamdanganya NYERERE hajafa...na wakichagua CDM nchi itakua na vita
farkhina said: Umri huo hadanganyiki na jambo huyo... Click to expand... anamdanganya NYERERE hajafa...na wakichagua CDM nchi itakua na vita