Is it a kind of compliment or trying to patronize me?!Bingoo!! I bet you are clever!!
Na kwa hakika Mwenyezi Mungu hawezi shindwa kutoa ulinzi kwa Malaika wake waliopelekwa kufanya nuru kwa wanadamu waliokuwa wamekata tamaa!Mungu asipomlinda mja wake wamlindao wakesha bure!
Amina!Na kwa hakika Mwenyezi Mungu hawezi shindwa kutoa ulinzi kwa Malaika wake waliopelekwa kufanya nuru kwa wanadamu waliokuwa wamekata tamaa!
Mmechanganyikiwa.Uchaguzi wa Marekani umemalizika kwa Mr Trump kutangazwa kuwa mshindi kinyume na matarajio ya watu wengi akiwemo Tb Joshua. kilichonivuta nyuma ya keyboard ni hotuba ya bi Hirary Clinton, nimenukuu baadhi ya maneno kukidhi matakwa ya uzi wangu'
she said "Last night I conglaturated Donard Trump and I offer to work with him on behalf of our country. I hope he will be successfull president for American.But I want you to remember that our compain was never about one person or even one election, it about a country we love, about building America that is hopefull and inclusive.
Must accept this result and then look to the future. Dornad Trump is going to be our president, we must owe him and open mind and chance for him to lead. the constitution of Democracy entrust on the rule of law, the principle that we are all equal in right and dignity, freedom of worship and expression, we respect and cherish this value too and we must defend him. Our constitution of democracy demand our participation not only in 4 years but all the time"
Kwa hotuba hii ya CLINTON
1. Nawaomba CDM wakubali matokeo na wampongeze Rais Magufuri kwa ushindi na washirikiane nae ktk kujenga nchi
2. Nawaomba watanzania wote ndugu zangu akina BAK, Mmawia, Musa Allan, Miss TANGA, Jane Lowasa, Lizaboni, Faidha Fox, Balatanda na wengine gender imezingatiwa tumlinde rais wetu Magufuri kwa gharama yeyote ile kama bi Clinton alivyotunasihi.
Naomba kuwasilisha.
Never mindIs it a kind of compliment or trying to patronize me?!
I like that... tuendelee na mjadala wa JPM!!Never mind
kuna maeneo nimeweka bold humo, upinzani wa Tanzania wamejisahau. wenzetu wapo tayari kumsaidia rais wao kujenga nchi, na kushiriki ktk shughuri za maendeleo. Sisi tunakazana kumpinga rais na kuyumbisha maendeleo ya nchi. Inabidi tubadilike tuache siasa za maji takaMmechanganyikiwa.
Kuna mwenzenu kule zenji domo lishapinda, linaelekea kusikojulikana!!!!
Kama mabaya yapo humu humu duniani basi ni lazima akumbane nayo, asije kuomba sympathy yetu atakapokuwa anakinywea kikombe cha uchungu.
Maana tazama itakuwa ni kwa utukufu wa MUNGU kujilipizia kisasi kwa mtu ajikwezaye asivyostahili.
Labda kama amri ya kuiba aliibatilisha yeye MUNGU.
Leo hilo lijamaa hata hiyo Biblia limeisahau, halafu hakimu amelilima siku kadhaa mahabusu mpaka lijifunze nidhamu....kwa majigambo makuu akishupaza shingo na kuinua biblia juu...
Kwani unadhani ni sahihi rais kuyapora madaraka ya Tamisemi?kuna maeneo nimeweka bold humo, upinzani wa Tanzania wamejisahau. wenzetu wapo tayari kumsaidia rais wao kujenga nchi, na kushiriki ktk shughuri za maendeleo. Sisi tunakazana kumpinga rais na kuyumbisha maendeleo ya nchi. Inabidi tubadilike tuache siasa za maji taka
Poa poa mkuu, ni chalenji tuI like that... tuendelee na mjadala wa JPM!!
Trump ameahidiwa kupewa ulinzi na ushirikia hata hajatekeleza kitu kimoja, ili sisi tunampinga rais kabla hajaanza kazi na mara baada ya kuanza kazi ss baada ya kumsaidia kucha ni kumtukana na kutafuta ameteleza wapiKwani unadhani ni sahihi rais kuyapora madaraka ya Tamisemi?
Halafu tunyamaze?!!
Tuheshimiane tafadhali.
Wakishaona baraza la madiwani majority ni wapinzani ndio wanafuta hati na kubadili matumizi ya ardhi ili wakose (madiwani) ku practice majukumu yao kwenye platform iliyokuwepo awali?!!!!!!!
RAIS ANAFELI NA WAKATI ANAFELI HAJUI KUWA ANATUFELISHA KWA MACHUKI YAKE YA AJABU AJABU.
Poa poa mkuu, ni chalenji tu
Madhara ya kuteua makada kwenye nafasi za uongozi yajulikanaTrump ameahidiwa kupewa ulinzi na ushirikia hata hajatekeleza kitu kimoja, ili sisi tunampinga rais kabla hajaanza kazi na mara baada ya kuanza kazi ss baada ya kumsaidia kucha ni kumtukana na kutafuta ameteleza wapi
Madhara ya kuteua makada kwenye nafasi za uongozi yajulikana
Ulifanikiwa kuisoma hii?
Njoo tena na mafamba yako.