We must protect our President Dr. Magufuli

We must protect our President Dr. Magufuli

Kuna haja ya kumlinda wakati ukimtukana facebook unatupwa jela au unapigwa faini. Chombo cha habari kinachomkosoa kinafungiwa kwa kutoa habari za uchochezi, hata wanasiasa wa wa chama chake wanamuogopa. Nafkiri yeye mwenyewe ameshajilinda vyakutosha.
Hivi kuna mtu anapenda kutukanwa dunia hii? Mtu akinga hoja bila matusi inakuwa si hoja. Tufuate ustaaribu wa wenzetu, using'ang'anie kutembea uchi wakati wenzako wanavaa nguo. Yaani ninyi baada ya kumtakia rais mazuri nyie mnaomba mabaya kila kukicha
 
What a fu...story yaani unashindwa kumlinda babaako na mamaako unaenda kumlinda ambaye hata hakutambui....yap Clinton kasema U.S.A kuna democratic constituton ambayo itadumu not only for 4yrs but 4rever.... vipi Tz ulikisikia alichojibu Pombe kuhusu constitution.???.. Sasa ya kwetu iko wapi???..."'WAITER ENDELEA KUZUNGUSHA POMBE USISAHAU KUJA NA ndalCHACOAL NIWASHIE BANG"'...
Nashukuru kwa mchango wako uliojaa busara wa kuonesha kuwajali sana wazazi. Maana wao ni muhimu na wanastahili kwanza wao kufanyiwa kisha wengine wafuate. Kwa mantiki hiyo na busara hizo naomba umshauri Lema aanze kuota wazazi wake wamefariki kwanza, baadae ndio ahanie kwa rais
 
Lengo lako ni jema lakini umeniboa kwa uandishi wako mbovu hasa kwa kushindwa kutumia l/r kwa ufasaha...acha nikuudhi ili upone udhaifu huu
Uchaguzi wa Marekani umemalizika kwa Mr Trump kutangazwa kuwa mshindi kinyume na matarajio ya watu wengi akiwemo Tb Joshua. kilichonivuta nyuma ya keyboard ni hotuba ya bi Hirary Clinton, nimenukuu baadhi ya maneno kukidhi matakwa ya uzi wangu'

she said "Last night I conglaturated Donard Trump and I offer to work with him on behalf of our country. I hope he will be successfull president for American.But I want you to remember that our compain was never about one person or even one election, it about a country we love, about building America that is hopefull and inclusive.

Must accept this result and then look to the future. Dornad Trump is going to be our president, we must owe him and open mind and chance for him to lead. the constitution of Democracy entrust on the rule of law, the principle that we are all equal in right and dignity, freedom of worship and expression, we respect and cherish this value too and we must defend him. Our constitution of democracy demand our participation not only in 4 years but all the time"

Kwa hotuba hii ya CLINTON
1. Nawaomba CDM wakubali matokeo na wampongeze Rais Magufuri kwa ushindi na washirikiane nae ktk kujenga nchi

2. Nawaomba watanzania wote ndugu zangu akina BAK, Mmawia, Musa Allan, Miss TANGA, Jane Lowasa, Lizaboni, Faidha Fox, Balatanda na wengine gender imezingatiwa tumlinde rais wetu Magufuri kwa gharama yeyote ile kama bi Clinton alivyotunasihi.

Naomba kuwasilisha.
 
Lengo lako ni jema lakini umeniboa kwa uandishi wako mbovu hasa kwa kushindwa kutunia l/r kwa ufasaha...acha nikuudhi ili upone udhaifu huu
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Tushindwe kulinda familia zetu tumlinde magufuli kwa mazur gani aliyofanya?
 
Back
Top Bottom