kuna familia zina chumba cha store zina kilakitu mpaka stick za meno unakuta humo,yani ni duka kabisa au mini super market.
akuna pesa mwanamke atakaa aione.
kuna familia zina chumba cha store zina kilakitu mpaka stick za meno unakuta humo,yani ni duka kabisa au mini super market.
akuna pesa mwanamke atakaa aione.
iyo style ya kutunza kilakitu nimeikuta kwa wafanyabiashara flani hivi.
mmoja ni Muha kampasia rafiki yake mchaga sahivi wanatembea kwenye iyo reli.
wasaka noti wa ukweli wanabajet kali sana,tofauti na wakimbiza mwenge wakipata 100k kesho anaamka hana kitu.