We Kipanya Mungu anakuona

We Kipanya Mungu anakuona

Hayati Mzee Mkapa alimuonya Live sura kwa macho kwny kikao cha Live Ikulu akiongea na Wastaafu kuhusu tabia ya kusema Mimi, Sijui Serikali yangu au Serikali ya Magufuli lakin liliingilia sikio la kushoto likatokea la kulia
Na ukimpinga ni lazima akufanyie kinyongo mtu yule. Hakika Mungu ni Mkubwa sana
 
Hayati Mzee Mkapa alimuonya Live sura kwa macho kwny kikao cha Live Ikulu akiongea na Wastaafu kuhusu tabia ya kusema Mimi, Sijui Serikali yangu au Serikali ya Magufuli lakin liliingilia sikio la kushoto likatokea la kulia
Alijirekebisha kidogo nadhani
 
Jamaa ana bonge la IQ, Hotuba ya page 50 anawakilisha kwa manrno yasiyozid gata 25
Big up kwa kipanya
 
Tanzania sasa ina MPANGO baada ya kupata SULUHU kutokana matatizo yaliyobabishwa na POMBE.
 
Hayati Mzee Mkapa alimuonya Live sura kwa macho kwny kikao cha Live Ikulu akiongea na Wastaafu kuhusu tabia ya kusema Mimi, Sijui Serikali yangu au Serikali ya Magufuli lakin liliingilia sikio la kushoto likatokea la kulia
asiyesikia la mkuu
 
Mfano hapo utamkamata kwa kosa lipi?
Swali zuri sana...

Huyu hakuanza leo wala jana kutoa ujumbe kwa picha..zenye kuonesha kwenda kinyume na baadhi ya watawala!
Lakini hajawahi kukamatwa...tofauti na wengine ...

Kwa wanaofahamu..watanielewa nini namaanisha!
 
Back
Top Bottom