We jamaa, nakupenda ujue

sema banaa hiyo avatar yako ni nani?
aahahhahaha
doyunt yu?
question tag unazikumbuka wewe?

The answer to the question i posted is ether yes or no
You didn't say either

Why don't you answer Yes or no?
Why so much hesitation?
 
We jamaa utakua CIA, teh teh teh

Aisee naona umemwaga mpaka visivyotakiwa kumwagwa..

Ngoja kwanza nikufuate PM
 
wamesema anaitwa asigwa, tumsubiri aje
DEMBA niruhusu na mm niyafanye yangu kwako pls!Nitume watu na heshima zao waka bow kwa niaba yangu kwa wazazi wako!

Nimechoka kukaa na upweke huu lol!
 
Last edited by a moderator:
We jamaa utakua CIA, teh teh teh

Aisee naona umemwaga mpaka visivyotakiwa kumwagwa..

Ngoja kwanza nikufuate PM
Ha hsaaaa!!!!duuu nakumbuka tuuu manyang'au nyang'au yako kudadadeki....haya Bwana jilie vyako....
 
Ha hsaaaa!!!!duuu nakumbuka tuuu manyang'au nyang'au yako kudadadeki....haya Bwana jilie vyako....
Ha ha ha aisee umenikumbusha enzi izo za leMambo club pale Mabibo hostel nilikua sikosi ladie free jtano , alhamisi na jumapili yaani full kubamba vitoto vya buguruni hukoo

Dah haya maisha banaa safari ndefu sana aiseeee
 
bora januari ifike murudi vyuoni tuongee mambo ya kikubwa

Join Date : 29th September 2013

Sijui ugeni bado unakusumbua ?

Mambo ya kikubwa yana jukwaa lake

We sista wa wapi wewe ?
 
Haya mpenz nimesha kupa like na nimesha ku quote sasa tuhamie PM tusiwape faida watu.

Jamani sio ww yaani yule mwnzio ana swaga hatare,, yuko so romantic na kizungu kwa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…