We have updated our privacy policy.

We have updated our privacy policy.

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
..
IMG_20180605_072354.jpg
IMG_20180605_072423.jpg
 
Lazima uingue kwenye browse u Login kwa ku accept terms and conditions....JF
 
Ukiielewa hii utajua ni jinsi gani tunaendelea kuwa uchi kwa hizi privacy policy mpya. Zimekaa kimitego sana.

Unaweza ukajikuta umekubali kutoa taarifa zako binafsi ili zitumike na makampuni binafsi kwa ajili ya matangazo.
 
Kwa wanaume sio tatizo sana.
Mbaya viwe ni mixer[emoji23]
Kwa wanaume mbaya sana, labda kwa wanawake, Si unajua wanaume kwa wanaume hatuwezi hata kuoga bafu moja uchi? ila wanawake kwa wanawake hawana shida kabisa, Jaribu kuchukua picha kichani mko wanaume kadhaa mnaoga bafu mmoja uchi wa mnyama kisha sabuni yako inaanguka chini ikisha unainama kuoikota kisha inateleza tena kwahiyo unabaki sekunde kadhaa umeinama chini kuiokota, kisha unainuka unashangaa wenzio wamezubaa wameacha kuoga kisha wote wamedindisha.
 
mleta mada upo kiroho zaidi baadhi ya wachangiaji hawajaelewa wanachangia kimwili zaidi
 
Back
Top Bottom