Can you tell who are Tanzanian military leaders? We do not have them here, our leaders are political. If you are trying to say Top military officials, you should remember that we have civilian leadership which is in charge of our military, and it takes an order from civilian administration to engage in any military consultation. BIG FLAW in that part of your presentation. Shughuli yetu yoyote ya kidiplomasia inaamuliwa na uongozi wa nchi, sio wa jeshi. Ndugu zetu wa Rwanda mnatakiwa kukumbuka kuwa uongozi wa Tanzania haukutokana na movement au Front kama ilivyokuwa Rwanda PF, ila unatokana na vyama vya siasa, na sasa chama tawala ni CCM na wakuu wa jeshi tangu mwaka 1961 wamebalishwa mara kadhaa na wanaendelea kubadilika.
Kwa Rwanda rais, mkuu wa majeshi, waziri wa ulinzi na wengine kwenye idara za usalama ni RPF. Tanzania ni tofauti sana...ukiangalia CDF wetu wa sasa unaweza kugundua kuwa ni jamaa aliyekulia na kusoma Zambia, sidhani kama ana beef yoyote na wanyarwanda, au ana uhusiano wowote na Interhamwe.
TISS and MI in Tanzania work in a very close relationship, there is nio such thing as one knowing one and the other not knowing. Licha ya dosari zote zilizopo hatujafikia ujinga huo TZ.
TISS haina uwezo wa kufanya biashara at expense of our national security, sidhani kama kuna mjinga yoyote TISS aombe rushwa ya namna hiyo kwa jambo kama hilo bila kujulikana na kuchukuliwa hatua. Hata awe kuruta wa TISS hawezi kufanya hilo.
Again TISS haiwezi kutoa mwaliko kwa mtu bila uamuzi wa utawala wa kiraia.
FDLR liaison office in Kigoma? jamani kweli kuna mtanzania yoyote anayeweza kuamini kuwa magaidi wana ofisi kwenye ardhi yetu kwa miaka bila hata kugunduliwa?