We have to kill tutsi whenever they are

We have to kill tutsi whenever they are

Murutongore thanks for sharing this with the forums,

The article is sickening, lakini ningependa tuangalie kwa mapana. As old as it is, it sheds some light on what is in Rwandese peoples minds. Na hii inanirudisha kule alikosema Rais wetu kuwa ni lazima pande mbili zikae (RPF na Interhamwe). Pamoja na kuwa sasa hivi majina yamebadilika mmoja anaitwa RDF au serikali na mwingine anajiita FDLR, according to the article all i see is RPF and Interhamwe.

Sad to see that interhamwe wameweza kupandikiza chuki hata kwa watoto waliozaliwa huko huko DRC, it is very worrying thing, i can say, if unchecked it existential threat (checking here does not mean kill them). Sijui hali ikoje kwa sasa, maana ni zaidi ya miaka 7 sasa.

Lakini nashangaa kitu kimoja kuhusu hii article uliyoiweka hapa. kama ingekuwa na mwelekeo tofauti baadhi ya watu hapa JF wangesema they do not have facts, they are not informed. Wangeipinga na kuikosoa sana.

Kuna kitu kingine kinashangaza, hasa tunaposoma kuwa Tanzania ilimkamata mmoja wa watuhumiwa wa genocide, lakini baadhi ya maofisa wa serikali ya Rwanda walitoa matusi makali sana na kumuita rais wetu na mkewe interahamwe. Does this mean Tanzanian government plays double standard? inakamata machinjachinja na kuwasaidia?
 
mchambawima1
How comes Rwanda is your home? Some of your hardliners have preached that you are the sons of Israelite.
 
Last edited by a moderator:
JokaKuu

At the surface, the problem is viewed as a tribal conflict between the Tutsi and Hutu.

However, the main issue is historical dominance of Tutsi. Majority of Tutsi think that they are above everybody else. If they can't change that attitude, the history will repeat itself.
 
Last edited by a moderator:
Kikwete alitoa ushauri bora kabisa wa kumaliza yote haya,bila kuridhiana kwa kukutana katika meza ya mazungumzo haya mambo hayawezi kwisha
 
MOTOCHINI
Hiyo vita mnaitangaza wenyewe, sisi hatuioni.

We have to kill tutsi whenever they are, wewe kabila gani? na hiyo vita aloitangaza nani? kama mnakuwa na ukabila, ubaguzi, nitofauti gani na kutangaza vita? ndugu sie hatuna maana kuwa tunataka mpigane vita ndio maana tukawashauri mkae mzungumze, jueni kua leo mmeshika mpini awali mlishika makali, jaribuni kukumbuka ikitokea nanyi mkashika makali tena na mfanyiwe kama mfanyavyo sasa itakuwaje? Jengeni nchiyenu kwa misingi ya uhuru,uwezo,na upenzi na si kwa kuangalia huyu mhutu yule mtusi woote ninchi yao wakae wapi? OK YOU CAN RETORT
 
Last edited by a moderator:
Kikwete alitoa ushauri bora kabisa wa kumaliza yote haya,bila kuridhiana kwa kukutana katika meza ya mazungumzo haya mambo hayawezi kwisha

Yaani siamini kama jambo hili ndie lilizua mengi au kuna trojan horse alihusika hapo maana siamini kiukweli: Na wenzetu walivyo na mioyo ya dam dam wakaenda mbaari na kutunisha msuli hata pasipo tunishika da
 
..vita ya makabila haina mshindi.

..hivi nyinyi mlivyotwaa madaraka Rwanda mnaona ni ushindi?

..Was it worth it, kwamba ndugu zenu mamilioni wafe, ilimradi nyinyi mrudi madarakani?

..Kwa Wahutu nao ni hivyo hivyo: ili kubaki madarakani kulikuwa na ulazima wa kuua ndugu zao Watutsi kiasi kile?

..Zaidi, kwa Kagame na genge lake la mauaji, hayo madaraka yana raha gani wakati kuna damu ya Wahutu na Wacongomani inawa-haunt?

cc Mzuvendi, Nguruvi3, Talkandtalk, bona, jMali, MUKAMASIMBA, murutongore, Pasco, Manyerere Jackton
Kagame is busy hunting Hutu wherever they are, a kinda ethnic cleansing!
 
Kagame is busy hunting Hutu wherever they are, a kinda ethnic cleansing!

inavoonekana kagame na yeye amepanga kufanya genocide kwa wahutu kutumia mapanga na mashoka atakayopitishia bandari ya mombasa ,hahah!!ila muache kutumia watoto kwenye shughuli zenu za kuua
 
We have to kill tutsi whenever they are, wewe kabila gani? na hiyo vita aloitangaza nani? kama mnakuwa na ukabila, ubaguzi, nitofauti gani na kutangaza vita? ndugu sie hatuna maana kuwa tunataka mpigane vita ndio maana tukawashauri mkae mzungumze, jueni kua leo mmeshika mpini awali mlishika makali, jaribuni kukumbuka ikitokea nanyi mkashika makali tena na mfanyiwe kama mfanyavyo sasa itakuwaje? Jengeni nchiyenu kwa misingi ya uhuru,uwezo,na upenzi na si kwa kuangalia huyu mhutu yule mtusi woote ninchi yao wakae wapi? OK YOU CAN RETORT
hahah so unataka fdlr iwe Chama cha siasa au?Napendekeza Jmali awe mwenyekiti,Joka kuu katibu, wewe utakua Afisa habari na mahusiano!niko natafuta mweka hazina wa chama nisaidie kupendekeza jina mkuu wangu ,hahah
 
Kikwete alitoa ushauri bora kabisa wa kumaliza yote haya,bila kuridhiana kwa kukutana katika meza ya mazungumzo haya mambo hayawezi kwisha

Hahah wa kukaa nao kufanya nao mazungumzo ndo hao fdlr?mweka hazina wa chama alikua anatafutwa umeshapatika mkuu,hahah
 
Murutongore thanks for sharing this with the forums,

The article is sickening, lakini ningependa tuangalie kwa mapana. As old as it is, it sheds some light on what is in Rwandese peoples minds. Na hii inanirudisha kule alikosema Rais wetu kuwa ni lazima pande mbili zikae (RPF na Interhamwe). Pamoja na kuwa sasa hivi majina yamebadilika mmoja anaitwa RDF au serikali na mwingine anajiita FDLR, according to the article all i see is RPF and Interhamwe.

Sad to see that interhamwe wameweza kupandikiza chuki hata kwa watoto waliozaliwa huko huko DRC, it is very worrying thing, i can say, if unchecked it existential threat (checking here does not mean kill them). Sijui hali ikoje kwa sasa, maana ni zaidi ya miaka 7 sasa.

Lakini nashangaa kitu kimoja kuhusu hii article uliyoiweka hapa. kama ingekuwa na mwelekeo tofauti baadhi ya watu hapa JF wangesema they do not have facts, they are not informed. Wangeipinga na kuikosoa sana.

Kuna kitu kingine kinashangaza, hasa tunaposoma kuwa Tanzania ilimkamata mmoja wa watuhumiwa wa genocide, lakini baadhi ya maofisa wa serikali ya Rwanda walitoa matusi makali sana na kumuita rais wetu na mkewe interahamwe. Does this mean Tanzanian government plays double standard? inakamata machinjachinja na kuwasaidia?
mkuu soma hii kitu utaelewa


How Rwandan DMI abducted FDLR Top ...rwandinfo.com[cached]How Rwandan DMI abducted FDLR Top CommanderGeneral Stanislas Nzeyimana...InitiallyFDLR-FOCAhesitated about sending a top Commander, but with the assurances from theTanzanian military,General Nzeyimana, who had strong connections with Tanzanian military leaders whenhewas theFDLRliaison officer in Kigoma in early 2000s, volunteered.The meeting betweenGeneral Nzeyimanaand theTanzanian Militaryofficers in Dar-es-Salaam ended onFebruary 28, 2013.Western Europe Non-Government Organizations(NGO) in the mixWhen Western NGOs that have been working on Eastern DRC and are close toFDLR-FOCAlearned of the trip ofGeneral Nzeyimanato Tanzania, they also organized to meet with him while in Dar-Es-Salaam. The meeting betweenGeneral Nzeyimanaand theNGOswas held on March 1, 2013. Among the discussions were how dependents ofFDLR-FOCA, especially children and elderly, could be removed from the combatzones to cities or other identified safe zones, whereNGOscould care for them. An agreement between theNGOsand theFDLR-FOCAwas signed. After the meeting, theNGOsandGeneral Nzeyimanaseparated.NGOsstaff returned to the WestandGeneral Nzeyimanaplanned to return to Eastern DRC via Kigoma....Before returning to Eastern DRC,General Nzeyimanapaid visits to friend among Rwandan refugees based in Dar-es-Salaam. On March 3, 2013, while leaving Dar-es-Salaam to Kigoma,General Nzeyimanawas arrested by Tanzania Security Services operatives. According to sources close to Tanzanian Security Services, the operatives were acting on a tip, independently from theTanzanian Military.They believed thatGeneral Nzeyimana, then using the war name of General Bigaruka Izabayo , was actually General Mudacumura, the FDLR-FOCA Commander who is sought by the International Criminal Court (ICC) and whose arrest would generate a $5 million dollars windfall promised by the United States Government....The operatives heldGeneral Nzeyimanain a safe house and contacted the FDLR-FOCAHigh Command in DRC. They orderedFDLR-FOCAto pay $4 million dollars to haveGeneral Nzeyimanareleased....Upon verification, the Tanzanian Security Services confirmed that it wasGeneral Nzeyimanawho, instead, is on the list of theUnited Nations Security CouncilSanctions Committee and on the United States Travel Ban list, and hence not allowed to travel across states. The Tanzania Security Services asked that theFDLR-FOCApay a fine of US $1 million to the Tanzanian Security Services. The FDLR-FOCA High Command once again refused to pay the money.Rwandan Department of Military Intelligence buyGeneral Nzeyimana.WhenFDLRrefused to pay $1 million dollars, the Tanzania Security Services contacted the Rwandan military attache at theRwandan Embassyin Dar-es-Salaam, LtColonel Tinka, and asked whether the Rwandan Department of Military Intelligence was ready to pay $3 million dollars in exchange ofGeneral Nzeyimana....Asked whereGeneral Nzeyimanamay be, the FDLR-FOCA sources said that probably in a torture house in Rwanda and probably will be killed. Asked whyhemay be killed instead of imprisoned, the FDLR-FOCA sources said that becauseGeneral Nzeyimanahad travelled to Tanzania with the invitation from theTanzanian Military,hecould not be held in Rwandan official prisons, unless there is "a strange" explanation howheended up there.Asked about the impact ofGeneral Nzeyimana'scapture onFDLR-FOCA, the sources said that it is a severe, but not fatalblow....How Rwandan DMI abductedFDLRTop CommanderGeneral Stanislas NzeyimanaNumerous sources are now reporting on ...rwandinfo.com[cached]Numerous sources are now reporting on the arrest ofGeneral Stanislas Nzeyimana(aka Izabayo Bigaruka), the deputy commander of the FDLR--the German Tageszeitung wrote about it last Friday, andsources close to the Tanzanian security services are now confirming.Bigaruka, asheis commonly known, was not directly involved in the 1994 genocide, ashewas in undergoing military training abroad at the time. However,hedid play a significant role during the insurgency in northwest Rwanda between 1997-1998.Helater became commander of the South Kivu division and eventually was promoted to become deputy overall commander in 2008.It is not clear how and when Bigaruka was arrested, although according to one UN sourcehewas taken into custody by Tanzanian security officials at the Serena Hotel on April 5.Hewas allegedly accompanied by two Congolese protestant ministers. The newspaper Umuvigizi, whichhas been banned in Rwanda, however reported thathehad been arrested in Kigoma, on the shores of Lake Tanganyika, wherehehad been based for several yearsas anFDLRliaison officer....How Rwandan DMI abductedFDLRTop CommanderGeneral Stanislas Nzeyima
 
kama hamtaki kufanya mazungumzo basi endeleeni kuchinjana,tuone kama vita vya kikabila vina mshindi
Hahah wa kukaa nao kufanya nao mazungumzo ndo hao fdlr?mweka hazina wa chama alikua anatafutwa umeshapatika mkuu,hahah
 
kama hamtaki kufanya mazungumzo basi endeleeni kuchinjana,tuone kama vita vya kikabila vina mshindi

Haina shida mkuu subiri siku marekani itakapokaa mezani kufanya mazungumzo na al-qaeda.
 
mkuu soma hii kitu utaelewa


How Rwandan DMI abducted FDLR Top ...rwandinfo.com[cached]

How Rwandan DMI abducted FDLR Top CommanderGeneral Stanislas Nzeyimana...InitiallyFDLR-FOCAhesitated about sending a top Commander, but with the assurances from theTanzanian military,General Nzeyimana, who had strong connections with Tanzanian military leaders whenhewas theFDLRliaison officer in Kigoma in early 2000s, volunteered.The meeting betweenGeneral Nzeyimanaand theTanzanian Militaryofficers in Dar-es-Salaam ended onFebruary 28, 2013.

Western Europe Non-Government Organizations(NGO) in the mixWhen Western NGOs that have been working on Eastern DRC and are close toFDLR-FOCAlearned of the trip ofGeneral Nzeyimanato Tanzania, they also organized to meet with him while in Dar-Es-Salaam. The meeting betweenGeneral Nzeyimanaand theNGOswas held on March 1, 2013. Among the discussions were how dependents ofFDLR-FOCA, especially children and elderly, could be removed from the combatzones to cities or other identified safe zones, whereNGOscould care for them. An agreement between theNGOsand theFDLR-FOCAwas signed. After the meeting, theNGOsandGeneral Nzeyimanaseparated.NGOsstaff returned to the WestandGeneral Nzeyimanaplanned to return to Eastern DRC via Kigoma....Before returning to Eastern DRC,General Nzeyimanapaid visits to friend among Rwandan refugees based in Dar-es-Salaam.

On March 3, 2013, while leaving Dar-es-Salaam to Kigoma,General Nzeyimanawas arrested by Tanzania Security Services operatives. According to sources close to Tanzanian Security Services, the operatives were acting on a tip, independently from the Tanzanian Military.They believed that General Nzeyimana, then using the war name of General Bigaruka Izabayo , was actually General Mudacumura, the FDLR-FOCA Commander who is sought by the International Criminal Court (ICC) and whose arrest would generate a $5 million dollars windfall promised by the United States Government....
The operatives held General Nzeyimanain a safe house and contacted the FDLR-FOCAHigh Command in DRC. They ordered FDLR-FOCAto pay $4 million dollars to have General Nzeyimana released....Upon verification, the Tanzanian Security Services confirmed that it wasGeneral Nzeyimanawho, instead, is on the list of the United Nations Security Council Sanctions Committee and on the United States Travel Ban list, and hence not allowed to travel across states. The Tanzania Security Services asked that the FDLR-FOCApay a fine of US $1 million to the Tanzanian Security Services. The FDLR-FOCA High Command once again refused to pay the money.

Rwandan Department of Military Intelligence buyGeneral Nzeyimana. When FDLR refused to pay $1 million dollars, the Tanzania Security Services contacted the Rwandan military attache at the Rwandan Embassy in Dar-es-Salaam, LtColonel Tinka, and asked whether the Rwandan Department of Military Intelligence was ready to pay $3 million dollars in exchange ofGeneral Nzeyimana....Asked where General Nzeyimana may be, the FDLR-FOCA sources said that probably in a torture house in Rwanda and probably will be killed. Asked why he may be killed instead of imprisoned, the FDLR-FOCA sources said that because General Nzeyimana had travelled to Tanzania with the invitation from the Tanzanian Military, he could not be held in Rwandan official prisons, unless there is "a strange" explanation howheended up there.

Asked about the impact ofGeneral Nzeyimana'scapture onFDLR-FOCA, the sources said that it is a severe, but not fatalblow....How Rwandan DMI abductedFDLRTop Commander General Stanislas NzeyimanaNumerous sources are now reporting on ...rwandinfo.com[cached]Numerous sources are now reporting on the arrest ofGeneral Stanislas Nzeyimana(aka Izabayo Bigaruka), the deputy commander of the FDLR--the German Tageszeitung wrote about it last Friday, andsources close to the Tanzanian security services are now confirming.Bigaruka, asheis commonly known, was not directly involved in the 1994 genocide, as hewas in undergoing military training abroad at the time. However,hedid play a significant role during the insurgency in northwest Rwanda between 1997-1998.Helater became commander of the South Kivu division and eventually was promoted to become deputy overall commander in 2008.It is not clear how and when Bigaruka was arrested, although according to one UN sourcehewas taken into custody by Tanzanian security officials at the Serena Hotel on April 5.Hewas allegedly accompanied by two Congolese protestant ministers. The newspaper Umuvigizi, whichhas been banned in Rwanda, however reported that he had been arrested in Kigoma, on the shores of Lake Tanganyika, where he had been based for several years as an FDLR liaison officer....How Rwandan DMI abducted FDLR Top Commander General Stanislas Nzeyima

Can you tell who are Tanzanian military leaders? We do not have them here, our leaders are political. If you are trying to say Top military officials, you should remember that we have civilian leadership which is in charge of our military, and it takes an order from civilian administration to engage in any military consultation. BIG FLAW in that part of your presentation. Shughuli yetu yoyote ya kidiplomasia inaamuliwa na uongozi wa nchi, sio wa jeshi. Ndugu zetu wa Rwanda mnatakiwa kukumbuka kuwa uongozi wa Tanzania haukutokana na movement au Front kama ilivyokuwa Rwanda PF, ila unatokana na vyama vya siasa, na sasa chama tawala ni CCM na wakuu wa jeshi tangu mwaka 1961 wamebalishwa mara kadhaa na wanaendelea kubadilika.

Kwa Rwanda rais, mkuu wa majeshi, waziri wa ulinzi na wengine kwenye idara za usalama ni RPF. Tanzania ni tofauti sana...ukiangalia CDF wetu wa sasa unaweza kugundua kuwa ni jamaa aliyekulia na kusoma Zambia, sidhani kama ana beef yoyote na wanyarwanda, au ana uhusiano wowote na Interhamwe.

TISS and MI in Tanzania work in a very close relationship, there is nio such thing as one knowing one and the other not knowing. Licha ya dosari zote zilizopo hatujafikia ujinga huo TZ.

TISS haina uwezo wa kufanya biashara at expense of our national security, sidhani kama kuna mjinga yoyote TISS aombe rushwa ya namna hiyo kwa jambo kama hilo bila kujulikana na kuchukuliwa hatua. Hata awe kuruta wa TISS hawezi kufanya hilo.

Again TISS haiwezi kutoa mwaliko kwa mtu bila uamuzi wa utawala wa kiraia.

FDLR liaison office in Kigoma? jamani kweli kuna mtanzania yoyote anayeweza kuamini kuwa magaidi wana ofisi kwenye ardhi yetu kwa miaka bila hata kugunduliwa?
 
Back
Top Bottom