hajikagoro
JF-Expert Member
- Jan 20, 2014
- 217
- 188
Aisee wadada/wamama wengine wanafanya kusudi kabisa kutumia mbanano kwenye daladala kugusisha misambwanda yao na kidume ukiwa umevaa nguo nyepesi na ukipeleka hisia unaeza ukapatwa mfadhaiko...
Wadada punguzeni hizi mambo...
Wadada punguzeni hizi mambo...