Sabuni ya rungu inakutosha.
Cha ajabu nina passport imebakisha mwezi mmoja iishe muda wake na haija wahi kugongwa muhuri hata mmoja.
Shemeji kesho usahau passport yako nikuletee hadi nyumbaniUraia bado hatujapewa...
Hela za kuweka benki zi wapi ndugu yangu hadi kumiliki hiyo ATM...!!!
Shemeji kesho usahau passport yako nikuletee hadi nyumbani
Nilimshukuru na nilimpa kifuta jasho lakini nikilinganisha na umuhimu ule naona haijatosha shukrani ile ndo mana nimeandika hapa.
Sabuni ya rungu inakutosha.
Cha ajabu nina passport imebakisha mwezi mmoja iishe muda wake na haija wahi kugongwa muhuri hata mmoja.
Lakini mpaka aje humu atangaze wajameni. Si angeenda pale alipomkuta anamsubiri na ppt akaendeeleze shukrani