We Dada kama umo humu asante sana

Exchange of numbers, Dinner..... Mnnnhhhhhh.

Lucifer stay away oooooh.
 
Uiacha galasa kwakua lilikuwa halina maana, mbona hukusahau pesa uliyokuwa umeifuata????????
 
Wasalimie huko nje ya nchi sijui ni zanzibar au Uganda, wasalimie sana
 
Hongera kwa kumiliki passport...

Wengine kitambulisho pekee tulichonacho ni hii kadi ya kupigia kura na yenyewe imepatikana kwa mbinde...
 
Sabuni ya rungu inakutosha.

Cha ajabu nina passport imebakisha mwezi mmoja iishe muda wake na haija wahi kugongwa muhuri hata mmoja.

Hahahahaaaaaa..!!!!
 
Lakini mpaka aje humu atangaze wajameni. Si angeenda pale alipomkuta anamsubiri na ppt akaendeeleze shukrani

Mkuu
Hizo ndo swaga za watoto wa mjini,wakishamuona mrembo,wenyewe wanasema"One chance One goal".
 
Exchange of numbers, Dinner..... Mnnnhhhhhh.

Lucifer stay away oooooh.

Where is Lucifer?? Mdada ana two rings where does that shitcome from??? Not on me or this earth
 
Hongera kwa kumiliki passport...

Wengine kitambulisho pekee tulichonacho ni hii kadi ya kupigia kura na yenyewe imepatikana kwa mbinde...

Passport nimeipata kutokana na previlage niliyonayo vinginevyo tungekuwa the same
 
Uiacha galasa kwakua lilikuwa halina maana, mbona hukusahau pesa uliyokuwa umeifuata????????

We dada weeee passport ni galasa??? Labda kwako kwangu ni deal inayoniletea pesa
 
Kuna harufu za tukio la ki-Ubazazi mbeleni hapa.
 
Hongera kwa kumiliki passport...

Wengine kitambulisho pekee tulichonacho ni hii kadi ya kupigia kura na yenyewe imepatikana kwa mbinde...

hata cha uraia wala ATM huna mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…