We are Sexually Incompartible!! Ndoa itadumu

vuvuzela nahisi kama na ww pia umekosa ubunifu. tatizo hapa ni sebuleni,bt anyway, tempt her banaa! build up the temptation,let her hang in there.haiwezekani asiwe hata na hamu ya kukukaba. hebu ongea nae,tafuta na ww ujuzi wa ziada wa jinsi ya kumzimisha.isije ikawa una zile za hakuna ma-care ww ni kuvamia tu.mfanye awe na hamu ya kuwa na ww kwanza.unaweza pata compatible afu akawa anaona hata kutoa lifti kwa majirani ni sawa.hayo ya chumbani mnaweza kuelekezana banaa
 
Wazo zuri!
 
Mkuu misuli yote hiyo umeshindwa kukageuza hako kasichana kweli, mbona unaweza, anaona akikuonyesha machejo utamwona mjanja halafu umuache, mshike mgeuze mwenyewe unavotaka, mbona wengine tunarushwa juu juu na kugeuzwa geuzwa, iweje wewe ushindwe? inamaana unamtoleaga macho makavu na kumwambia geuka, pale mahali hakuna kuulizana ni vitendo tu

whaooo........really?...speaking from experience.....
 
vuvuzela nahisi kama na ww pia umekosa ubunifu. tatizo hapa ni sebuleni,bt anyway, tempt her banaa! build up the temptation,let her hang in there.haiwezekani asiwe hata na hamu ya kukukaba. hebu ongea nae,tafuta na ww ujuzi wa ziada wa jinsi ya kumzimisha.isije ikawa una zile za hakuna ma-care ww ni kuvamia tu.mfanye awe na hamu ya kuwa na ww kwanza.unaweza pata compatible afu akawa anaona hata kutoa lifti kwa majirani ni sawa.hayo ya chumbani mnaweza kuelekezana banaa

Hapo kwenye red......jamaa asije akaenda mbali.............tahadhari!
 
vuvuzela nahisi kama na ww pia umekosa ubunifu. tatizo hapa ni sebuleni,bt anyway, tempt her banaa! build up the temptation,let her hang in there.haiwezekani asiwe hata na hamu ya kukukaba. hebu ongea nae,tafuta na ww ujuzi wa ziada wa jinsi ya kumzimisha.isije ikawa una zile za hakuna ma-care ww ni kuvamia tu.mfanye awe na hamu ya kuwa na ww kwanza.unaweza pata compatible afu akawa anaona hata kutoa lifti kwa majirani ni sawa.hayo ya chumbani mnaweza kuelekezana banaa

Nimefanya ubunifu wote unaoujua na nimemaliza lakini wapi, yani ni kama vile unawasha jiko na kuni mbichi ama zilizoloa maji. I'm really frustrated and in the dillema
 
Kwani kuni mbichi haziwaki??Mi nimewahi kuwasha shuleni na nyumbani....ni jitihada tu zinahitajika.Ukianza sio unachukua dakika katikati ya mchakato kupumzika au kupunguza frastruation...unakaza buti mpaka kieleweke.
 
Kaka nimeshanganzwa na statement yako ya "GOGO KITANDANI" hivi kweli utandawazi kama huu wewe bado unaendekeza ushamba wa namna hii? Mimi nilidhani utakuja na idea kwamba ni mtovu wa nidhamu, hajui kupika, hajui usafi, hana akili timamu? Nahisi wewe huna adabu, huna usiri, ni mropokaji usiyejua unaropoka nini. Kama wewe unajua si umfundishe basi ili nae awe kwenye beat yako

Inaonekanna wewe ni mshamba sana, kwa taarifa yako kama unampenda mwenzi wako kuna makungwi wanajua kufundisha, kama unampenda tutafute tukuelekeze wapi umpeleke akajifunze ili akuridhishe.

Utabadilisha wangapi? Nina wasi wewe ndiyo kihiyo kwenye suala zima la kukatika kitandani. kama unajua mapenzi mbona anakushinda kumfundisha? Huna unalojua kazi kuja kuropoka hapa. Nachukia sana wanaume wenye madomo marefu kama NDEGE JOHN.

Nisamehe kwa lugha kali niliyotumia ila uwe na adabu, ujue kumheshimu mwenza wako. hakuna kitu kisichofundiishika hela yako tu, sema kama huna hela tujue siyo kubwabwaja hapa.

Nachukia mwanaume muongo kama wewe!! hovyoooooooooooooooo
 
Dada samahani sana kama umechukizwa na nimekuudhi. I sincerely apologize for that.
Kuhusu kuanika siri za ndani, ama nimekuwa mwazi na kutumia lugha hiyo sababu wengi wetu hapa jamvini tuko anonimous kuanzia majina hadi avatars. So kwa kuzingatia hilo nimeamua kuanika details hizo ili kuwa as open and precise as possible ili watu wawezenielewa inside out na wanisaidie kimawazo. Nisingethubutu kuanika yote haya kama ningekuwa siko anonimous. Ahsante.
Happy Friday!!
 
Nimeshaongea nae sana tena sana kila mara anasema atajitahidi, mara saa nyingine anasema there's nothing she can do. So far hakuna improvement yoyote. Yaani nimefanya kila juhudi na utundu harespond kabisa, na nimeshindwa sijui nifanyaje sasa. That's why nimekuja hapa JF kwani naamini hiki ni kisima cha hekima. All in all I'm in a big dillema

Ok nimekusoma mkuu,sasa hapo nenda hatua ya pili tafuta kungwi wa kumfunda kama sio wa kuongea nae.Ingawa katika hili inabidi uwe makini zaidi maana mwenzako anaweza akaelewa ndivyo sivyo.
Kila la kheri mkuu.
kauli mbiu :Unyumba salama na bora kwa kila mwanandoa.
 
Kuna kipindi nilishawahi kugusia issue ya kumconsult kungwi na aliniambia she's too old for that, and also she's not comfortable to consult a kungwi. Nihurumieni mwenzenu niko njia panda.
Kaazi kwelikweli
 
Mtoa maada, hata mimi wa kwangu alikuwa hivyo lakini sasa hivi mambo safi kabisa. Nimeenda naye (ktk ndoa) taratibu kwa muda wa miaka 2 ndo akawa mwake sasa. Muhimu ni kumfundisha kwa njia mbali mbali: kuzungumza naye, kumpa magazeti, vitabu vya mambo hayo asome au kutafuta mtu mwingine (hasa shangazi yake) azungumze naye au amfundishe.

Nina wasiwasi na approach unayotumia kumfundisha -inawezekana unasema naye kwa ukali, unamponda, wewe mwenyewe unakuwa na hasira n.k. Hivyo kwa sasa ningekushauri wewe usimfundishe tena bali jaribu hizo njia zingine. Nilikuja kugundua ni tatizo tu la culture zetu, interaction yake na exposure ktk mambo hayo.

Ukifuatilia historia yake ktk mambo haya utapata jibu kamili na namna ya kumsaidia abadilike. Ni lazima ukubali ukweli kwamba mambo ya ngono ktk jamii zetu hayako wazi kiivyo, hivyo wanaoyafahamu vizuri ni wale wajanja - wenye nia ya kutaka kuyajua zaidi.

The rest unakuta wameridhika na kile wanachojua tu. Kama walivyosema baadhi ya wadau ndoa ni zaidi ya ngono. Mi nakushauri oa tu huyo dada, atakuja kuwa mtaalam hadi kila wakati uhisi unaibiwa!
 
we broo unanishangaza umekulia town au kijijini? SIKILIZA hakuna lisilowezekana chini ya jua. Kubal utaweza. Pamoja na mawazo mazuri ya KING'ASTI, zingatia yafuatayo.
1. Naamini uyo demu wako anapenda sana ngono ila likifika swala la kufanya ngono hajiamini na anayemfanya asijiamini ni wewe.
2. Naamini uyo demu wako pia ni mpole sana kiasi ya kukuogopa, na anayemfanya awe mwoga ni wewe.

Man kuwa simple usiingie na uso wa kazi chumbani.
Kama kweli na yeye ni mpenzi wa ngono, iyo ni very simple.usimpe ki2 kwa muda mrefu kidogo alafu ucheck ana react vip.
Ukihisi anahamu na ngono hapo hapo usiachie, tumia ujanja wa kiutu uzima (mwandae vya kutosha mpaka anaomba yeye mwenyewe).
Then lala chali, mpandishe juu (angalizo hapa ni maneno kidogo vitendo kwa wingi, tumia ujanja usimwambie na macho makavu panda juu). Mkwaju wa babu ukishazama ndani wakati bado ako juu usihangaike mwangalie anataka nini,na kwa kuwa anapenda kulala na saa iyo atakuwa juu yako amekulalia jaribu kufanya ivi............
>>>>>mpapase kidogo sehemu karibu na linapoungana tumbo na hips/ikulu, then angalia anafeeling gan kama yupo pamoja na wewe fanya kama unafinya kidogo lakini very sharply.
LAZIMA kiuno itabonyea na hips kuruka juu au vice versa hips zizame ndani kiuno juu, chek kama anahamu ya kufika Kilimanjaro,piga pozi rudia tena kwa uangalifu kama mara mbili zaidi. kama bado yupo pamoja na wewe endesha baiskeli yenu taratibu mpaka mtafika kibo na mawenzi. apo ataona kenya, tanzania na uganda hadi zanzibar>>>>>>kwisha habari yake utamwona anavojichekesha chekasha mara usingizi mzito, kuwa tayari kuamshwa karibia na asubuhi sa kumi kumi ivi.
NSHAFANYA IVYO KWA DEMU MOJA WA KIMASAI BAADA YA APO ILIKUWA BALAA MPAKA NAKIMBIZWA KAMA MECHI YA MAN U NA BARCELONA.

BEST LUCKY.
 
Hamna kitu kigumu kama kumfundisha mtu ambaye hajui kwamba hajui. Ndio maana ulivyomwambia umpeleke kwa kungwi kaja juu kwani anajiona yuko poa tu. Kusema umuoe ata learn pole pole baada ya miaka miwili what if badala ya kulearn hali ikawa worse? Ukizingatia baada ya muda atakuwa na majukumu kama ya kulea. Nakwambia huyo unalalamika anasoma gazeti, akishazaa utatamani asome gazeti maana ndio hao wanajibu waume zao sijisikii. Kuna watu hawa enjoy sex probably tokana na malezi wanaona si tendo takatifu bali ni dhambi.

Tatizo naloliona hapo huyo wife to be hataki kujifunza kwa kuwa yeye haoni kuwa ana tatizo! Huwezi msaidia mtu asiyejua kama ana shida. Kama kigezo cha kwanza kwenye kuoa ni tabia go ahead; ila jiandae kuwa cheater.

Nakushauri kama una imani atabadilika, mbadilishe kwanza. Usi risk kuoa usipolizishwa.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
ankojei hii sebule nayo hata pazia haina?lol,manake ningefunika macho. manake nadhani hiko maandalizi ya ndoa yanaendelea manake zoezi lisipofanikiwa hapa hawa wote wawili inabidi waende samunge,last option!if u dont tempt ur partner enough,dont expect miracles aisee!
 
Vuvuzela nimekuwa mkali sana naomba nisamehe pia. VUVUZELA kama vipi kula kona bwana, kila mtu ana utashi wake kweye mapenzi, ikifika hana morale ya kujifunza huyo mwache na uzee wake akatafute wazee wenzie.

Hivi kweli wanawake miaka hii kuna kitu chochote kinashindikana ulimwengu huu????
 
Kwani kuni mbichi haziwaki??Mi nimewahi kuwasha shuleni na nyumbani....ni jitihada tu zinahitajika.Ukianza sio unachukua dakika katikati ya mchakato kupumzika au kupunguza frastruation...unakaza buti mpaka kieleweke.

haya mwaya
 
we broo unanishangaza umekulia town au kijijini? SIKILIZA hakuna lisilowezekana chini ya jua. Kubal utaweza. Pamoja na mawazo mazuri ya KING'ASTI, zingatia yafuatayo.
1. Naamini uyo demu wako anapenda sana ngono ila likifika swala la kufanya ngono hajiamini na anayemfanya asijiamini ni wewe.
2. Naamini uyo demu wako pia ni mpole sana kiasi ya kukuogopa, na anayemfanya awe mwoga ni wewe.

Man kuwa simple usiingie na uso wa kazi chumbani.
Kama kweli na yeye ni mpenzi wa ngono, iyo ni very simple.usimpe ki2 kwa muda mrefu kidogo alafu ucheck ana react vip.
Ukihisi anahamu na ngono hapo hapo usiachie, tumia ujanja wa kiutu uzima (mwandae vya kutosha mpaka anaomba yeye mwenyewe).
Then lala chali, mpandishe juu (angalizo hapa ni maneno kidogo vitendo kwa wingi, tumia ujanja usimwambie na macho makavu panda juu). Mkwaju wa babu ukishazama ndani wakati bado ako juu usihangaike mwangalie anataka nini,na kwa kuwa anapenda kulala na saa iyo atakuwa juu yako amekulalia jaribu kufanya ivi............
>>>>>mpapase kidogo sehemu karibu na linapoungana tumbo na hips/ikulu, then angalia anafeeling gan kama yupo pamoja na wewe fanya kama unafinya kidogo lakini very sharply.
LAZIMA kiuno itabonyea na hips kuruka juu au vice versa hips zizame ndani kiuno juu, chek kama anahamu ya kufika Kilimanjaro,piga pozi rudia tena kwa uangalifu kama mara mbili zaidi. kama bado yupo pamoja na wewe endesha baiskeli yenu taratibu mpaka mtafika kibo na mawenzi. apo ataona kenya, tanzania na uganda hadi zanzibar>>>>>>kwisha habari yake utamwona anavojichekesha chekasha mara usingizi mzito, kuwa tayari kuamshwa karibia na asubuhi sa kumi kumi ivi.
NSHAFANYA IVYO KWA DEMU MOJA WA KIMASAI BAADA YA APO ILIKUWA BALAA MPAKA NAKIMBIZWA KAMA MECHI YA MAN U NA BARCELONA.

BEST LUCKY.

sawa mkuu
 
Kuna kipindi nilishawahi kugusia issue ya kumconsult kungwi na aliniambia she's too old for that, and also she's not comfortable to consult a kungwi. Nihurumieni mwenzenu niko njia panda.
Kaazi kwelikweli
ila weye mwenyewe unaweza msaidia mpenzio kufikia viwango unavyotaka..hakuna anozaliwa anajua bwana
 
Back
Top Bottom